Hivi ALAF ni kiwanda cha umma au ni cha binafsi?

Hivi ALAF ni kiwanda cha umma au ni cha binafsi?

RWANTANG

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2021
Posts
1,143
Reaction score
1,425
Habari wakuu.

Pamoja ya kuwa nimekuwa ni mteja mzuri tu wa bidhaa za ALAF lakini kwakweli sifahamu kiwanda hiki kama ni cha Serikali au ni cha mtu binafsi.

Hivyo ninaomba mwenye kujua anifahamishe. Kuna jambo ningependa tujadili baada ya kupata majibu ya swali langu.
 
Ninachojua ALAF siyo kiwanda cha serikali
 
Kwani atcl ni ya serekali!? Angalia wanavyolazimisha routes ambazo hazina tija!! Ukiweza tofautisha utakuwa umetambua alaf ni ya nani
 
Back
Top Bottom