Hivi Aliens na UFOs ni tatizo la Amerika na Ulaya Tuuu?

Hivi Aliens na UFOs ni tatizo la Amerika na Ulaya Tuuu?

Wickama

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2009
Posts
1,466
Reaction score
1,196
Wanaukumbi,

Kwa wale wenye mazoea ya kusikiliza au kujisomea habari za UFOs (unidentified Flying Objects) au Aliens (watembezi/viumbe wanaofika hapa duniani toka sayari zingine) watakubaliana na mimi kwa kiasi kikubwa kabisa kwamba visa na matukio yanayo-ripotiwa ni kutoka ama Amerika ya kaskazini (USA na Canada) na kwa uchache kabisa Ulaya.

Ni nadra sana kusikia hadithi za "abductions by aliens" au UFOs landings tokea bara letu la Africa au Asia. Sasa nauliza, ni kipi kinafanya matukio haya yanajazana toka eneo moja? Ina maana hawa Aliens hawana data za kuchukua kwa wakaaji wa Africa? Ina maana hizi UFOs hazina hata haja ya kushuka kando ya Kampala au Tunduma?

Ili kuondoa taswira kuwa mada hii haina takwimu hapa chini ni muhtasari wa matukio ya UFOs kwa mwaka huu 2015. Utaona Afrika nje ya Misri na Afrika Kusini ni patupu.
Kwa takwimu hizi, Marekani na Canda peke yao wana karibu 90% ya mgawo.

MUFON STATISTICS REPORT JULY 2015
ightings over July of last year. A breakdown by country is shown to the right. if you scroll down, reports by state, shape, and distance from the witness, are also shown.




Sightings by Country



[TABLE="align: center"]
[TR]
[TH]Country[/TH]
[TH]Number of Reports[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]UNITED STATES[/TD]
[TD]1048[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]CANADA[/TD]
[TD]125[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]UNITED KINGDOM[/TD]
[TD]49[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]AUSTRALIA[/TD]
[TD]11[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]BRAZIL[/TD]
[TD]10[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]INDIA[/TD]
[TD]9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]SWEDEN[/TD]
[TD]7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]PORTUGAL[/TD]
[TD]7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]PUERTO RICO[/TD]
[TD]6[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]GREECE[/TD]
[TD]5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]IRELAND[/TD]
[TD]5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]ITALY[/TD]
[TD]5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]COLOMBIA[/TD]
[TD]4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]ARGENTINA[/TD]
[TD]4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]NETHERLANDS[/TD]
[TD]4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]FRANCE[/TD]
[TD]4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]GERMANY[/TD]
[TD]3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]SPAIN[/TD]
[TD]3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]VENEZUELA[/TD]
[TD]3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]POLAND[/TD]
[TD]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]NEW ZEALAND[/TD]
[TD]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]PERU[/TD]
[TD]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]CZECH REPUBLIC[/TD]
[TD]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]SWITZERLAND[/TD]
[TD]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]PHILIPPINES[/TD]
[TD]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]CROATIA[/TD]
[TD]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]ISRAEL[/TD]
[TD]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]GUAM[/TD]
[TD]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]MEXICO[/TD]
[TD]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]BOLIVIA[/TD]
[TD]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]SERBIA AND MONTENEGRO[/TD]
[TD]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]DENMARK[/TD]
[TD]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]MALAYSIA[/TD]
[TD]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]CHINA[/TD]
[TD]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]URUGUAY[/TD]
[TD]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]INDONESIA[/TD]
[TD]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]PAKISTAN[/TD]
[TD]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]THAILAND[/TD]
[TD]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]ECUADOR[/TD]
[TD]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]LEBANON[/TD]
[TD]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]SINGAPORE[/TD]
[TD]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]NICARAGUA[/TD]
[TD]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]ALBANIA[/TD]
[TD]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]SOUTH AFRICA[/TD]
[TD]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]JAPAN[/TD]
[TD]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]AFGHANISTAN[/TD]
[TD]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]CHILE[/TD]
[TD]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]EGYPT[/TD]
[TD]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]LAO PEOPLE`S DEMOCRATIC REPUBLIC[/TD]
[TD]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]RUSSIAN FEDERATION[/TD]
[TD]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] TOTAL:[/TD]
[TD]1353[/TD]
[/TR]
[/TABLE]





Source: http://www.educatinghumanity.com/2015/08/ufo-sighting-statistics-july-2015.html



Hebu Tuchangie

cc Eiyer, Mkuu wa chuo, Makanyaga, n00b, Millah, Papa Mopao, Kitty Galore, Nyambush,
 
Mkuu,habari ya siku?

Hili swali nilishauliza siku nyingi hapa na sikupatiwa jibu...

Wacha tusubiri inawezekama tukapata jibu sasa....
 
Kuna mambo mengi yanachangia.

Moja Africa hatuna mazoea ya kufanya utafiti wa kisayansi, Yawezekana ilishawahi kutokea sehemu ila watu wa sehemu husika wakachukulia suala la kawaida tu.

Kwa wenzetu kitu kikitokea lazima watatafuta chanzo na sio sisi ambao hatutafuti chanzo wala kufanya utafiti wa kisayansi.

Swali kwa mtoa mada/muuliza swali. Kuna maabara yoyote ya kisayansi ambayo IPO Africa inafanya utafiti Kama ilivyo kwa NASA?

Kama jibu ni ndio basi itakua na mapungufu Sana na kama hakuna basi usishangae ni kawaida yetu kuishi kwa mazoea.

Kingine muda mwingine hawa wenzetu weupe propaganda nyingi Sana.
 
Mkuu Gbollin,
nashukuru sana kwa mchango wako, ni kweli yapo masimulizi mengi ya kimaandishi toka kwa wenzetu wa ulaya, na pengine hakuna/machache sana kutoka kwetu. Ushahidi wa vitabu unaonyesha HUENDA Alliens walifika sehemu kadhaa hapa duniani lakini sio sehemu moja pekee. Moja ya simulizi ya kale sana yanayofungamanishwa na UFOs na Alliens ni yale aliyo ripoti Erick von Daniken katika kitabu chake cha Chariots of the Gods. Katika simulizi hiyo, von Daniken amedai kuwa alichokiona nabii ezekiel ilikuwa spacecraft ya Alliens (UFOs in the Bible: Ezekiel's Wheel, 593 BC - Cheber River, Chaldea (in modern-day Iraq), - 593 BC - UFO Evidence). Baadae mhandisi wa NASA Josef Blumrich aliweza kutoa michoro ya hiyo spacecraft kwa kutumia maelezo ya nabii Ezekiel(http://www.campbellmgold.com/archive_esoteric/spaceships_of_ezekiel_blumrich_1972.pdf) au pia (http://www.spaceshipsofezekiel.com/...-spaceships-of-the-prophet-Ezekiel-linked.pdf)

Hii ya nabii Ezekiel ni simulizi iliyosheheni sana details za "UFO" na waliyokuwamo, na ilitokea maeneo ya middle east Holy land. Lakini napata shida na accounts za miaka ya hivi karibuni, karibu 80% ni kutoka Marekani au Canada. Kwingeneko ni nadra sana. Ndio maana nikauliza ina maana Arusha au Mwanza au Kinshasha hazina data au hata wenyeji wanao-arouse interest za Alliens kuwa-abduct?

Sijasikia kama kuna maabara au unit ina deal na UFOs au Alliens katika nchi zetu hizi, ila sidhani kuwa inabidi muwe na kitengo maalumu ili Alliens waje.

Mkuu Eiyer, nashukuru kwa salaam. Tupo pamoja mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Usa waliiba vitu vyote vya kale kutoka afghanistan na iraqi siku nyingi
 
Hivi vitu viko sana hata Africa seme sie waafrika sio wadadisi wala wafukunyuku mfano kikipita kitu angani usiku ukikiona utasema ni WACHAWI

kumbuka UFO's zinatembea kwa kasi sana na mara nyingi tunaziona zikipita ila tukiuliza nini hicho mzazi atakwambia Kimondo, mwingine atakwambia Wachawi wanapita wengine watakupuza na kukwambia macho yako tu hakuna kitu
so ni something like that
 
There are.
UFO sightings occur all over the world and it includes Africa. But
they are less largely known in than for example UFO events in the
US because the general flow of information tend to go more into
Africa than out of Africa. If you are located in Africa, you will have
much more chance to hear about a US UFO event than from an
African UFO event.
You will have the feeling that there are none or very few UFO
observation in Africa because they are not escalated to the media or
to the ufology community. The possible reasons are numerous:
Low density of population in vast areas.
Isolated rural communities with few ways of communication.
Developping areas with no electricity, hence lower phone and fax
capacity, almost no internet connection, no email. In the US and
Europe, email and the Internet have a crucial role in UFO information
distribution.
Lower interest, developping countries have much more important
issues than the study of the UFO phenomenon.
Developping media in many countries: few newspaper, low reporting
capabilities.
 
There are.
UFO sightings occur all over the world and it includes Africa. But
they are less largely known in than for example UFO events in the
US because the general flow of information tend to go more into
Africa than out of Africa. If you are located in Africa, you will have
much more chance to hear about a US UFO event than from an
African UFO event.
You will have the feeling that there are none or very few UFO
observation in Africa because they are not escalated to the media or
to the ufology community. The possible reasons are numerous:
Low density of population in vast areas.
Isolated rural communities with few ways of communication.
Developping areas with no electricity, hence lower phone and fax
capacity, almost no internet connection, no email. In the US and
Europe, email and the Internet have a crucial role in UFO information
distribution.
Lower interest, developping countries have much more important
issues than the study of the UFO phenomenon.
Developping media in many countries: few newspaper, low reporting
capabilities.

Chanzo ni ufoevidence.org
 
hata kwetu hawa aliens wapo tofauti ni perception ya kitu na uelewa hivyo vitu katika mazingira yetu. Ulaya na Marekani wakivishuhudia wanasema wameona mtu au mnyama kutoka dunia nyingine sisi tukiona hizo harakati au hao Aliens tunasema tumeona Kibwengo, Kinyamkera, Maimuna na vitu kama hivyo. hivyo watu hawashughuliki kujua ni nini wameona na kwa nini wameona na walichokiona ni kutoka wapi kwa kuwa tayari wanajua walichokiona ni Kibwengo hivyo anachofanya ni kukimbilia kanisani aombewe au kwa mganga azindikwe. Wengi waliosoma shule za Bweni na waliowahi kufika maeneo yaliotelekezwa kwa muda mrefu kwa namna moja ama nyingine wamewahi kusikia kuhusu mtu fulani au watu fulani kushuhudia kiumbe wa ajabu asiye binadamu au chombo cha ajabu kikitembea ardhini au kikipaa au kushuka kutoka angani. mwisho wa siku anajumuisha kuwa kaona ndege ya wachawi au majini.
 
Ishawahi tokea Africa nchini Tanzania.
Source: Kitabu cha Utata Wa 9/12 cha Hussein Tuwa.
 
Ebu fikilia unaludi zako hom mida ya usiku unatoka kazini mala mbele unaona kiumbe cha ajabu, we ubafikili kitakachofuata ni nini kama sio kutoka nduki tu. Huwezi kuanza kukikagua eti hiki ni kibwengo au alien
 
Mi ntakuwa wa mwisho kuamini uwepo wa hawa wadudu.

Serikali ya marekani ndo inataka watu waamini kuhusu UFO, na mkakati huo waliuanzia kwenye muvi...
mi naamini kuna kitu kikubwa tu wanakiandaa kwa mgongo wa hizo mambo.
 
Back
Top Bottom