Ukikuta uzi kuna mada nzuri inajadiliwa utakuta kijana wa ajira mpya anajipa mamlaka ya kutetea hata kama anatetea upumbavu
Hii mindset kawaambia nani?
Nani kasema lazma mtetee ujinga?
Kwani huo mshahara ni hisani?
Nihitimishe kusema Tanzania watu tunaojielewa ni 0.23% tu katika wasomi wote
Huu upumbavu nimeshindwa kuvumilia kwakweli
Yani nimekasirika sana