Hivi Alikiba naye ana bodyguard?

Hana pesa ya kulipa madeni kibao ,kwani mwisho wake anapo safiri mombasa
 
Huwa mwenyew anasema kuwa ALLI ni kipenzi cha watu nadhan ndio sababu asiwe na bodyguard.
NA HAKUNAGA MTU AMBAYE SI KIPENZI CHA WATU,KWASABABU WATU WANAANZIA WAWILI,SASA KUNA MTU ASIYEPENDWA NA WATU HATA WAWILI.??
 
Sasa kwa muziki huu unatafuta bodyguard wa nini,si kujiaibisha tu.

Huyu mtu huwezi kumlinganisha na huyo kiumbe wa hapo juu.Hii ni huko MALAWI SIO MOMBASA.
 
Tz sio kongo hakuna haja ya walinzi
Sio kila anayejiwekea ulinzi ni kwavile anaogopa asipigwe risasi,ila DIAMOND amejiwekea ulinzi kwa mazingira kama haya hapa,SASA HUYO MWINGINE HAWEZI KUPATA MAZINGIRA KAMA HAYA,YEYE HATA AKIPITA SEHEMU HAKUNA ANAYESHTUKA KWAVILE NI WAKAWAIDA SANA TENA SANA.
 
Acha maneno yakike. Povu lote ilo ni kwa ajili ya mwanaume mwenzio?mnamatatizo sana vijana wakileo acheni upuuzi tafuteni ela..
 
Acha maneno yakike. Povu lote ilo ni kwa ajili ya mwanaume mwenzio?mnamatatizo sana vijana wakileo acheni upuuzi tafuteni ela..
Chukua na hii ya nchini CONGO ili uendelee kutoa povu la kufulia turubai. Nadhani hadi hapo umeshaona umuhimu wa yeye kuwa na ulinzi.
 
Huwa na wasiwasi na jinsia yako kama ni mwanamke sawa kama ni mwanaume jitathmini
 
Huwa na wasiwasi na jinsia yako kama ni mwanamke sawa kama ni mwanaume jitathmini
Nimekuelewa vizuri sana mkuu,bila shaka unataka nikufanyie kile kitendo cha "KUDHIBITISHA KAMA MWANAUME KWELI"
 
Nimekuelewa vizuri sana mkuu,bila shaka unataka nikufanyie kile kitendo cha "KUDHIBITISHA KAMA MWANAUME KWELI"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unaona sasa? ?nshakuelewa jinsia yako ndo maana nahisi unamuhitaji Alikiba akupe penzi
 
Yule anaetembea na Bodyguard kila anapokwenda imegundulika kuwa kuna biashara nyingine anayofanya nje ya muziki wake ndio maana anahitaji ulinzi
 
Kwani huyu ni waziri gani hapa nchini?
 
Huenda hana changamkia fursa mkuu
 
Sasa kwa muziki huu unatafuta bodyguard wa nini,si kujiaibisha tu.

Huyu mtu huwezi kumlinganisha na huyo kiumbe wa hapo juu.Hii ni huko MALAWI SIO MOMBASA.
Mapoooovu yanakububujika [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu una roho ngumu,mbaya ya korosho dhidi ya ALLI naweza kukupa sifa hiyo kumbuka haikusaidii kitu utakufa na liroho lako libaya eti hakuna mtu ambae si kipenzi cha watu unaishi dunia gani ww ????
 
Mwambie asiogope, Aliiiiiii ni kipenzi cha watu
[emoji208][emoji208][emoji208][emoji208][emoji208][emoji208][emoji208][emoji208][emoji208]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…