Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NA HAKUNAGA MTU AMBAYE SI KIPENZI CHA WATU,KWASABABU WATU WANAANZIA WAWILI,SASA KUNA MTU ASIYEPENDWA NA WATU HATA WAWILI.??Huwa mwenyew anasema kuwa ALLI ni kipenzi cha watu nadhan ndio sababu asiwe na bodyguard.
Sio kila anayejiwekea ulinzi ni kwavile anaogopa asipigwe risasi,ila DIAMOND amejiwekea ulinzi kwa mazingira kama haya hapa,SASA HUYO MWINGINE HAWEZI KUPATA MAZINGIRA KAMA HAYA,YEYE HATA AKIPITA SEHEMU HAKUNA ANAYESHTUKA KWAVILE NI WAKAWAIDA SANA TENA SANA.Tz sio kongo hakuna haja ya walinzi
Sio kila anayejiwekea ulinzi ni kwavile anaogopa asipigwe risasi,ila DIAMOND amejiwekea ulinzi kwa mazingira kama haya hapa,SASA HUYO MWINGINE HAWEZI KUPATA MAZINGIRA KAMA HAYA,YEYE HATA AKIPITA SEHEMU HAKUNA ANAYESHTUKA KWAVILE NI WAKAWAIDA SANA TENA SANA.
Chukua na hii ya nchini CONGO ili uendelee kutoa povu la kufulia turubai. Nadhani hadi hapo umeshaona umuhimu wa yeye kuwa na ulinzi.Acha maneno yakike. Povu lote ilo ni kwa ajili ya mwanaume mwenzio?mnamatatizo sana vijana wakileo acheni upuuzi tafuteni ela..
Sio kila anayejiwekea ulinzi ni kwavile anaogopa asipigwe risasi,ila DIAMOND amejiwekea ulinzi kwa mazingira kama haya hapa,SASA HUYO MWINGINE HAWEZI KUPATA MAZINGIRA KAMA HAYA,YEYE HATA AKIPITA SEHEMU HAKUNA ANAYESHTUKA KWAVILE NI WAKAWAIDA SANA TENA SANA.
Nimekuelewa vizuri sana mkuu,bila shaka unataka nikufanyie kile kitendo cha "KUDHIBITISHA KAMA MWANAUME KWELI"Huwa na wasiwasi na jinsia yako kama ni mwanamke sawa kama ni mwanaume jitathmini
Sammata Ana bodyguard?Mayweather si ni boxer. Bodyguards anawatumia wa nini???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unaona sasa? ?nshakuelewa jinsia yako ndo maana nahisi unamuhitaji Alikiba akupe penziNimekuelewa vizuri sana mkuu,bila shaka unataka nikufanyie kile kitendo cha "KUDHIBITISHA KAMA MWANAUME KWELI"
Teh teh teh nauliza tu jamani kama huyu jamaa naye ana bodyguard sababu mara nyingi tunamuona diamond kila anapoenda ni lazima utamuona akiwa na njemba inayomlinda lakini kwa Alikiba sijawahi kumuona hata siku moja akiwa na bodyguard na ndio maana nauliza kama naye ana bodyguard wa kumlinda.
Sasa kwa muziki huu unatafuta bodyguard wa nini,si kujiaibisha tu.
Huyu mtu huwezi kumlinganisha na huyo kiumbe wa hapo juu.Hii ni huko MALAWI SIO MOMBASA.
Ohoooo!!!Mtoa mada kama we ni wakiume bac kwenu wana hasara.