Una matatizoHata sijakuelewa unaamaanisha mini?
Huyo Mwandishi kaniacha hoi hapo alipomtaja harmonize Kisha akaweka mabano na kuandika Rayvanny as if ni mswanii mmoja Ila hilo ni jina lake jingine.Wanafeli sana hawa wanaomanage huu upande...ndio maana hujaona credible sources/citations....hawa wamezoea kupost ubuyu insta wameenda hadi wikipedia kuupost, kama hapo most streamed artist let say kwenye boomplay walitakiwa kuandika full adress yakuretrieve hiyo page inayomuonyesha nandy kama the topper!! Wikipedia kama story ya lakwanza bhana, wanamuaibisha nandy wetu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi hatujaelewanaMwenyewe kama sijakuelewa hivi.
Bora umemsaidia. Ungeenda mbali zaidi kwa kumtoa Diamond kwenye hii controversy section. Maana as it is seems Diamond na huyo Nandy walikuwa kwenye hiyo video pamoja.Uzuri wa Wikipedia ni kwamba kila mtu anaweza ku-edit na kila mtu anaweza ku-review. Sasa wasanii wadogowadogo kama Nandy unakuta ata mtu akiandika upupu hakuna atakae kuja ku-review kwasababu hakuna anae msoma.
Nimefuta huo upuuzi walioandika na kuwataja wakina Harmonize Platnumz Jux etc.
Hawa wasanii wanatakiwa katika crew member wake wawe na mtu wa ku control online sources na social networks. Mfano Diamond, uki edit ujinga page yake ya Wikipedia ndani ya Nusu Saa utakuta wamefuta ujinga ulioandika. Wako Fasta.
View attachment 1416979
Done bro. Nimemtoa kabisa Platnumz nimemuweka Nenga.Bora umemsaidia. Ungeenda mbali zaidi kwa kumtoa Diamond kwenye hii controversy section. Maana as it is seems Diamond na huyo Nandy walikuwa kwenye hiyo video pamoja.
Mimi sijaona alipoandika Rayvanny bali (ravvany).Huyo Mwandishi kaniacha hoi hapo alipomtaja harmonize Kisha akaweka mabano na kuandika Rayvanny as if ni mswanii mmoja Ila hilo ni jina lake jingine.
Mkuu pia wasaidie kukorect Grammar..
Pamoja. Nikipataga muda nafanyagafanyaga. Nakumbuka enzi Diamond anaanza tumeshinda sana kwenye page yake. Ila shaivi level zingine hakuna ata haja ya ku edit nadhani kuna mtu analipwa kwa iyo kaziMkuu pia wasaidie kukorect Grammar..
She is has been.... Hamna hiyo
ππππ