Basi kama diamond atakuwa na mtu wake wa kumuandikia information basi yupo zero kabisa hana information kuhusu bosi wake hivi tuzo zote na nomination zote za Diamond ndio za kuziweka shallow namna ile!????....aingie basi hata wikipedia za kina Wiz khalifa,Ty dollars sign,Young thug,Roddy Ricch akaangalie information zinakuwaje maana information zimeandikwa kimaghumashi sana yaani sasa ukiingia information za wacheza soka wa Tanzania ndio zero kabisa yaani
Pamoja. Nikipataga muda nafanyagafanyaga. Nakumbuka enzi Diamond anaanza tumeshinda sana kwenye page yake. Ila shaivi level zingine hakuna ata haja ya ku edit nadhani kuna mtu analipwa kwa iyo kazi