Hivi aliyeandika hizi taarifa mwenye Wikipedia ya msanii Faustina Charles Mfinanga a.k.a Nandy, alikuwa na maana gani ?

Juzi nimeangalia biography ya Mo.Dewji Wikipedia mara wakaanza nambia Mzee Dewji kipindi anazaliwa kidogo anyongwe na placenta.

By the way according to Wikipedia S.S.Bakhresa ana networth ya $3.5b.And he's the richest man in Tz.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] mkuu hiyo kunyongwa na cord ni taarifa za kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja. Nikipataga muda nafanyagafanyaga. Nakumbuka enzi Diamond anaanza tumeshinda sana kwenye page yake. Ila shaivi level zingine hakuna ata haja ya ku edit nadhani kuna mtu analipwa kwa iyo kazi
We jamaa mtu mwema sana. Natamani wahusika wenyewe wangeona uzalendo wako. Stay blessed mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…