Hivi Almasi (Diamond) anajua anachokifanya?

Hivi Almasi (Diamond) anajua anachokifanya?

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
1,736
Reaction score
408
Hivi huyu bwana mdogo anaelewa kweli maana ya hiyo sign aliyoweka?.,kuna picha nyingine ilisambaa sana last week akiwa amepiga na mzungu wameweka sign hiyo ya "waashi-huru" akasema alipokuwa anapiga hakujua maana yake, sasa na hii kapiga na huyu mwandishi wa habari Iringa pia alikuwa ameshasahau maana yake au ndio anapigia mstari zile tetesi kwamba na yeye ni mmoja wao?

DIAMONDPLATINUM3.JPG
 
Jamani sisi yeye, hata mie sijui. Kuuliza si ujinga ndo nini waashi-huru maana yake?
 
Jay z ndo celebriti mwenziem
Mtoto wa kiswahili asiye na maadili akipata pesa lazma aingie chaka tu!
 
Hahhhaaa...mambo ya 'freemason' hayo..
 
Ngoja aje aambiwe kutoa Kafara sijui atamtoa NANI?.. Na watanzania kuanza KUZIMIA TENA
 
Madam X, waashi=massons,free=huru. Ni tafsiri ya "freemassons".
 
Naona kipindi hiki kamaanisha,hata hiyo picha kwenye t-shirt.. Eenh hapo mbele ni dalili tosha kuwa ni mfuasi. Anyway,anatakiwa kukanusha kwa matendo na siyo kwa maneno kama afanyavyo kwenye vyombo vya habari.
 
Hivi huyu bwana mdogo anaelewa kweli maana ya hiyo sign aliyoweka?.,kuna picha nyingine ilisambaa sana last week akiwa amepiga na mzungu wameweka sign hiyo ya "waashi-huru" akasema alipokuwa anapiga hakujua maana yake, sasa na hii kapiga na huyu mwandishi wa habari Iringa pia alikuwa ameshasahau maana yake au ndio anapigia mstari zile tetesi kwamba na yeye ni mmoja wao?View attachment 56880
Mkuu labda wewe ungetueleza hofu au mashaka yako yapo wapi, Mimi naona hiyo ni ALAMA INAYOONYESHA SHAPE YA DIAMOND (ALMASI) TU, Sijuhi ni umasikini ama ni nini?, maana akili za watanzania hata huwezi jua zinawaza nini, Mtu akikunja vidole na kesho akapata visenti basi ni Freemasons, ni hatari kubwa sana
 
Nafikiri kila mtu na Maisha yake...waTz tuna ishu moja ya Ujinga wa kuongelea kitu chochote kama ni sehemu ya kitu iyo...inabidi tujifunze kumind our business.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Km Diamond ni freemason watz wengne mnakunwa na nini? Afu mkiulizwa nini manake ya fremason hamna maelezo,so kaa kimya km huna hoja
 
Kumbe hata mimi ni Freemason!! nilikuwa sijajijuwa maana picha kama hizo hata mimi nimepiga nyingi za kutosha. kinachonisikitisha Taifa hili linazidi kuzalisha watu wajinga na wavivu wa kufikiri na kulishana habari ushuzi kila kukicha.
 
Nothing so special ni suala la kutaka attention tu hilo, ili watu waseme kwani ndio hot topic kwa sasa
 
Hakuna takataka inayoitwa freemasons jamani.
Watanzania wanapoteza mda mwingi kujadili hii propaganda ya wazungu ya kupoteza mda wa wajinga wanaofuata upepo wa kila mada inayoanzishwa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
stori zinazouza magazeti siku hizi, diamond+kanumba+wema+wolper+freemasons..., na wanazidi kuvumisha hayo ya freemasons ile waendelee kuyauza sana hayo magazeti,

wake up people!
 
Mkuu labda wewe ungetueleza hofu au mashaka yako yapo wapi, Mimi naona hiyo ni ALAMA INAYOONYESHA SHAPE YA DIAMOND (ALMASI) TU, Sijuhi ni umasikini ama ni nini?, maana akili za watanzania hata huwezi jua zinawaza nini, Mtu akikunja vidole na kesho akapata visenti basi ni Freemasons, ni hatari kubwa sana

Kituko yaani umesema kila kitu kuna majinga humu siku hizi kila kitu ni freemason, hata wakienda chooni wakakuta mlango umefungwa utasikia jamaa lina guna, freemason wamo humu!! Inaudhi hebu fungueni akili zenu wavivu ninyi!!
 
Back
Top Bottom