M-bongotz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,736
- 408
Hivi huyu bwana mdogo anaelewa kweli maana ya hiyo sign aliyoweka?.,kuna picha nyingine ilisambaa sana last week akiwa amepiga na mzungu wameweka sign hiyo ya "waashi-huru" akasema alipokuwa anapiga hakujua maana yake, sasa na hii kapiga na huyu mwandishi wa habari Iringa pia alikuwa ameshasahau maana yake au ndio anapigia mstari zile tetesi kwamba na yeye ni mmoja wao?

