Mkuu labda wewe ungetueleza hofu au mashaka yako yapo wapi, Mimi naona hiyo ni ALAMA INAYOONYESHA SHAPE YA DIAMOND (ALMASI) TU, Sijuhi ni umasikini ama ni nini?, maana akili za watanzania hata huwezi jua zinawaza nini, Mtu akikunja vidole na kesho akapata visenti basi ni Freemasons, ni hatari kubwa sanaHivi huyu bwana mdogo anaelewa kweli maana ya hiyo sign aliyoweka?.,kuna picha nyingine ilisambaa sana last week akiwa amepiga na mzungu wameweka sign hiyo ya "waashi-huru" akasema alipokuwa anapiga hakujua maana yake, sasa na hii kapiga na huyu mwandishi wa habari Iringa pia alikuwa ameshasahau maana yake au ndio anapigia mstari zile tetesi kwamba na yeye ni mmoja wao?View attachment 56880
Hakuna takataka inayoitwa freemasons jamani.
Watanzania wanapoteza mda mwingi kujadili hii propaganda ya wazungu ya kupoteza mda wa wajinga wanaofuata upepo wa kila mada inayoanzishwa.
Mkuu labda wewe ungetueleza hofu au mashaka yako yapo wapi, Mimi naona hiyo ni ALAMA INAYOONYESHA SHAPE YA DIAMOND (ALMASI) TU, Sijuhi ni umasikini ama ni nini?, maana akili za watanzania hata huwezi jua zinawaza nini, Mtu akikunja vidole na kesho akapata visenti basi ni Freemasons, ni hatari kubwa sana