Hivi ambao huwa wanasema Card B yuko vizuri kuliko Nick Minaj huwa mnatumia vigezo gani?

Kwangu mimi kiukweli bwana nick heshima yake ipo na,itakuwepo ila,kwa flava za hapa na pale namchukua card kwa sasa japo nick bado ni malka wao na kiongozi.

Ukijaribu kutamka wakali basi tuna mchukua nick.

Ni sawa na young thug ata tengeneza truck kali lakini sio hit.
 
Angalia na ngoma ya nick na tyga harafu njoo na mrejeshooo ....Niki ni motooooo
 
Angalia na ngoma ya nick na tyga harafu njoo na mrejeshooo ....Niki ni motooooo

Naijua ni kali,ila kwa sisi wamarekani cardi ni mkali zaidi na ndio maana amechukua mituzo ambayo minaj hakuwahi kuipata na ndio msingi wa wivu wake kwa cardi,huyu cardi mfuatilie vizuri,sio wa sayari hii,yule minaj ni miguvu miguvu tu na ubabe,hana mpya
 
Lakini ukweli Nick anajua sana huyo cardi b itamuchukua miaka kibao kufika level ya nick .Nick ka wa inspire watu kibao so Nick kwangu naona anajua sana
 
Lakini ukweli Nick anajua sana huyo cardi b itamuchukua miaka kibao kufika level ya nick .Nick ka wa inspire watu kibao so Nick kwangu naona anajua sana

Labda kakuinspire wewe mkuu,minaj hakupata challenge tu kipindi mnamuona ni mkali, ni wa kawaida sana,hamkuti hata Azalea
 
Labda kakuinspire wewe mkuu,minaj hakupata challenge tu kipindi mnamuona ni mkali, ni wa kawaida sana,hamkuti hata Azalea
Iggy azalea ana punch gan za kumzidi Nick ???? Sema mkuu najua unaforce tu katoto cardi b aonekane mkali kumbe si chochote wala lolote kwa Nick
 
Iggy azalea ana punch gan za kumzidi Nick ???? Sema mkuu najua unaforce tu katoto cardi b aonekane mkali kumbe si chochote wala lolote kwa Nick

Duh,kati mwenye tuzo nyingi cardi na anayelilia tuzo huyo minaj nani anayeforce hapa kati ya mimi na wewe??
 
Duh,kati mwenye tuzo nyingi cardi na anayelilia tuzo huyo minaj nani anayeforce hapa kati ya mimi na wewe??
Tuzo sio ishu sana mwangalie mtu kama chriss brown hana tuzo nyingi ila ni mkali mara mia ya wanao pewa tuzo...fuatilia hizo tuzo kuna watu walishazila kwa sababu zinaendeshwa kimaghumashi
 
Tuzo sio ishu sana mwangalie mtu kama chriss brown hana tuzo nyingi ila ni mkali mara mia ya wanao pewa tuzo...fuatilia hizo tuzo kuna watu walishazila kwa sababu zinaendeshwa kimaghumashi

Usimfaninishe breezy na vitu vya kijinga kama minaji,huyo ni most talented r&b singer kwa sasa,minaj yeye ni nani??
 
Daamn, i like this girl. She knows how to do it.
 
Nick minaji ameshindikana kwa marapa wa kike walianza kumkimpea na Iggy Azalea sasa hivi yuko wapi sasa wamehamia kwa Card B,,,wazungu nao wapuuzi tu
 
Aisee najiulizaga young ma anafeli wapi kupata respect anayostaili.....cardi b kwa young ma kwa rap bado sana labda 2 kwa hits na fame
 
Aisee najiulizaga young ma anafeli wapi kupata respect anayostaili.....cardi b kwa young ma kwa rap bado sana labda 2 kwa hits na fame

Young Ma ni lesb, business iko dominated na wanaume.

Unaona Nicki ilivyolazimu pamoja na kuwa poa mashairi lakini lazima ashikwe mkono na wanaume.

Likewise kwa Cardi B.
 
Usiforce mfanane. Kila mtu anatest yake.
 
Jifunze kusoma uelewe! Nani amesema nafosi tufanane?
Kuna tofauti kati kuelewa na kujua kusoma. On reference to hi mistari michache tu.
'ila binafsi kila nikijaribu kusikiliza ngoma za huyu mwamama card b nashindwa kabisa kuzielewa nabaki nawashangaa tu wanaomlinganisha na Nick!

Kwa mtazamo wangu Nick yuko njema zaid '
They are your views not anybody's. Sasa ninavokwambia usiforce mfanane unapinga.
Kajifunze kujitambua na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…