Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana hata kwenye uzi nimesema wale ambao wanawafuatilia hao kina dada!Tuwekee Nyimbo Za Cardi B na Nyimbo Za Nicki Minaj Tusikilize Then Tutoe Conclusion na Sio Kutuletea Maneno Matupu Tu
hii ni kweliMi naonaga kwa namna fulani Card B anamuiga Nick Minaj (flow), kwa maana nyingine kawa inspired nae. Sema Card B japo kwa mtazamo wangu sio mkali kama Nicki ila nyota imemng'alia sana sasa, na unavyojua tena kuna muda ukifika watu wakiamua kukuchoka huwezi zuia hata kama bado una uwezo mkubwa, naona kama Nikki ameanza kuchokwa so Card ni kama mbadala wake
Na matiti piaWote wakuza makalio tu
Pia huwa havai kufuliCard B siijui miziki yake ila tu nilisikia anasifiwa ana uno feni
Cardi B nimemkubali kwenye taki taki na motor sport ila Nicki Minaj hana mpinzani aisee namkubali kuanzia enzi zile za moment for life na super bass na hadi kesho nitamkubali walikuja kina Iggy Azalea na M.I.A walimkuta na watamuachaKwa muda mrefu kumekuwa na hiyo ligi kama card b kimuziki yuko vizuri kuliko Nick Minaj ila binafsi kila nikijaribu kusikiliza ngoma za huyu mwamama card b nashindwa kabisa kuzielewa nabaki nawashangaa tu wanaomlinganisha na Nick!
Kwa mtazamo wangu Nick yuko njema zaid kuliko card b na hata ukisema umuunganishe card b na wale shemeji zake(Migos crew) bado naona nick yupo juu!
Wale ambao mnafutilia mziki wa hawa wadada wawili mnasemaje?
Moment for life 🔥🔥🔥🔥huwa siichokiCardi B nimemkubali kwenye taki taki na motor sport ila Nicki Minaj hana mpinzani aisee namkubali kuanzia enzi zile za moment for life na super bass na hadi kesho nitamkubali walikuja kina Iggy Azalea na M.I.A walimkuta na watamuacha