Hivi anaetumia id ya mkulima kwenye draft la playok ni nani haswa? Ni jini au?

Hivi anaetumia id ya mkulima kwenye draft la playok ni nani haswa? Ni jini au?

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
2,406
Reaction score
8,039
Nasikia huyo mkulima aliwafunga Ronaldo, sisqo na noel, Nimeshuhudia hata mabingwa wengine wa playok wenye point 1500+ anawafunga, halafu cha kushangaza zaidi nasikia hachezi copy..

Huyu mtu anachezea kijiwe kipi? Maana anaetumia id ya mkulima Kwenye playok nasikia sio mangwelele
 
Sasa achana na mkulima,Kuna chuma kimoja hivi kilikuwa na point 1800 kama sikosei ni Kati ya townkid/townboy mpaka hakuwa na njano yeye akawa na nyekundu.Hao jamaa ni shida sasa.
Hee kwahiyo townboy na mkulima wakicheza, mkulima anapigwa Mc PIPI
 
Sasa achana na mkulima,Kuna chuma kimoja hivi kilikuwa na point 1800 kama sikosei ni Kati ya townkid/townboy mpaka hakuwa na njano yeye akawa na nyekundu.Hao jamaa ni shida sasa.
Townkid amedrop ana point around 1600 kuna watu wana 1700+ kuna poweram, runi9poacher, kingmwando
 
Sasa achana na mkulima,Kuna chuma kimoja hivi kilikuwa na point 1800 kama sikosei ni Kati ya townkid/townboy mpaka hakuwa na njano yeye akawa na nyekundu.Hao jamaa ni shida sasa.
Hivi zile rangi zina maana gani?..

#MaendeleoHayanaChama
 
Kiwango baba,wale wenye blue bahari ni Matura,Ila wa kijani ni wa wastani, Ila wapo wenye njano za kudumu hao maji marefu,sasa ukiona nyekundu hao ni hatari mzee.
Sijaelewa ilo game lao. Nimeregister, Ila naona Kuna ugumu kuplay
 
Back
Top Bottom