Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Mimi nitachapisha ya Katiba mpya.Kama imekuudhi chapisha jezi yako muweke Mbowe Ingia nayo uwanjani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nitachapisha ya Katiba mpya.Kama imekuudhi chapisha jezi yako muweke Mbowe Ingia nayo uwanjani
Jibuni hoja nyie masikini, Rais wa Tanzania ambaye hata Netball hajawahi kucheza, kwenye soka anatafuta nini?Chapisheni zenye picha ya Mdude muwavalishe UFIPA FC
Ulitaka kusemaje labda?Raisi ni wa nchi acheni ufala kuna nembo ya chama hapo
Jibu hojaHii inqmaana unatabia zakike za kuigaiga vitu!
Go on Lion...
Kuna siku tutafungiwa kwa sababu ya Serikali kuingiza siasa katika michezo.Picha hii inaweza kukuonyesha hili ninalouliza .
Ni nchi gani nyingine duniani ambayo Timu zake za soka zinafanya hivi ?
View attachment 2317408
Siasa ni maishaNa ww hueleweki kila mahali unaleta siasa. Tumekuchoka sasa
Kosa liko hapo..😣na Picha ya mama
Hiyo ni timu ya Taifa ya India na iliyoweka kambi katika mji wa Bombay.Hivi hio Ni Timi gani?
Nina uhakika wa 100% ingewekwa picha ya mwenyekiti Mbowe ama makamu mwenyekiti Lisu Erythrocyte post yako isingekuwa hii ila kwasababu ni picha ya mtu kutoka upande usioupenda ndo maana umeandika hivi.Picha hii inaweza kukuonesha hili ninalouliza.
Ni nchi gani nyingine duniani ambayo Timu zake za soka zinafanya hivi?
View attachment 2317408
Labda kwa kuwa aliingia kwa kuiba kura so anakosa heshima machoni pa mwananchi. Kiasi sura yake ninkumbukumbu za wiziUnachukia Rais wa nchi kuonekana..
Ni kanuni kuvaa t-shirt yenye picha ya Rais? Ikifika uchaguzi Mkuu timu zitavaa kuhamasisha watu wakapige Kura? Na Sensa hii ina nini cha ajabu Hadi Kila Mtu aisemee? Kama lengo ni idadi ya watu, kuna mwenyekiti wa mtaa hajui idadi ya watu wake? Yaani maswali ya DK 5 yatatoa exactly idadi ya Watanzania?Amesimama km Rais, sio m/miti wa chama.
mtoa uzi ni mjinga wa kiwango cha lami..Picha hii inaweza kukuonesha hili ninalouliza.
Ni nchi gani nyingine duniani ambayo Timu zake za soka zinafanya hivi?
View attachment 2317408
Unachotetea ni nini?Nina uhakika wa 100% ingewekwa picha ya mwenyekiti Mbowe ama makamu mwenyekiti Lisu Erythrocyte post yako isingekuwa hii ila kwasababu ni picha ya mtu kutoka upande usioupenda ndo maana umeandika hivi.
Mkuu Erythrocyte siasa zitakulemeza akili na siyo kila kitu tukichambue kisiasa aliyepo hapo ni president wa nchi anayewaongaza wananchi (siyo yanga) wote wenye vyama na wasio na vyama na simba ni sehemu ya wananchi hao.