Hivi atakuja tokea mwanamuziki zama hizi wa RnB kama Celine Dion

Eeh bana Celine Dione hajawahi kuwa mwanamziki wa Rnb hata siku moja...fanya homework kwenye aina za Muziki.

Rnb malkia wake ni Marry J Bridge
Marry j.Bridge hapigi rbn
 
Kundi kivipi mkuu? Family Affairs ni Rnb hit song ya Mary J brige produced by dre.
Huyo bibie anafanya Hiphop and soul pia Rnb...pitapita google mkuu.
 
Wengi wanasema Whitney Houston sjui Kwa sababu ni mwamerica , ila nyimbo za Celine Dion ni impressive Sana na romantic haswa , kuna zile Pini New day has come , My heart will Go on , love doesn't ask why .... Huyu mama ni chuma bhana
 
Naweza kusema kwenye mziki kuna kizazi kilikuwa cha mziki mtamu sana, hii ni kwa aina mbalimbali za mziki.

Kwa sasa ujanja ujanja mwingi eti mziki biashara, huko mbeleni naogopa kusema mimi!
 
Wako malegend wakali kuliko yeye kama diana rose na linda ronstadt...celina sauti inambeba sana
 
Kwa kweli huyu mwanamama nimeanza kumsikiliza tangu nikiwa kigoli mpaka sasa nazeeka nyimbo zake hazichuji
Kuna magwiji ukisikiliza nyimbo zao unamuona selina sawa na nandy.aretha franklin,diana rose,tammy tarrel,patty label,linda ronstadt
Your browser is not able to display this video.
 
Naweza kusema kwenye mziki kuna kizazi kilikuwa cha mziki mtamu sana, hii ni kwa aina mbalimbali za mziki.

Kwa sasa ujanja ujanja mwingi eti mziki biashara, huko mbeleni naogopa kusema mimi!
Mziki ulikua motown records,yani magwiji wote walikua humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…