tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Tafuta nyimbo za dianarose kuna someday,pia missing you alimuimbia marehemu marvin gaye ndio utajua kuna mafundi wa mzikiWengi wanasema Whitney Houston sjui Kwa sababu ni mwamerica , ila nyimbo za Celine Dion ni impressive Sana na romantic haswa , kuna zile Pini New day has come , My heart will Go on , love doesn't ask why .... Huyu mama ni chuma bhana
eti kundi[emoji23]humu kuna watoto hawajui mziki, ila wanajitutumua kujifanya nao wakongwe[emoji23][emoji23]Sasa unazungumzia kundi ? Au yeye marry j bridge?
Yeye huyo anagonga hip pop,,na soul muzic,,,
Hapana Celin, hakua anaimba R&Bile ni RNB kweli?
Hujui mziki wenye Whitney Houston yule mama Mungu amrehemu, alijua kuimba Celin wa Kawaida sana, uzungu ulimbebaBinafsi namkubali sana huyu mama.
Katika career yake ya mziki binafsi sijawahi sikia skendo yoyote serious inayomhusu.pili nyimbo zake hajiexpose sana mwili wake ili auze album zake.. ni nyimbo unaweza angalia hata na familia yako.
Nyimbo zake zinatuliza nafsi, zinaponyesha maumivu ya moyo kwa waliotendwa..pia zina inspire never to give up...
Binafsi ngoma zake zote nazikubali.
Huyo ndio Celine dion mwenye asili ya canada
My love is ur love, The greatest love of all, Nazingine sikumbuki majina Houston kamsikilize anavyobadilisha sauti kuendana na mapigo ya muziki hatariWengi wanasema Whitney Houston sjui Kwa sababu ni mwamerica , ila nyimbo za Celine Dion ni impressive Sana na romantic haswa , kuna zile Pini New day has come , My heart will Go on , love doesn't ask why .... Huyu mama ni chuma bhana
Ndiyo maana nikastuka kidogo, ila nadhani rbn na pop zinachananya watu. Mimi hadi leo nikiambiwa bad ya Michael Jackson ni rnb huwa sielewi kabisa. Binafsi huwa naona ni pop yenye element za funk...[emoji3][emoji3]
eti kundi[emoji23]humu kuna watoto hawajui mziki, ila wanajitutumua kujifanya nao wakongwe[emoji23][emoji23]
Ana mix, anaimba, soul country music, pop music.Eeh bana Celine Dione hajawahi kuwa mwanamziki wa Rnb hata siku moja...fanya homework kwenye aina za Muziki.
Rnb malkia wake ni Marry J Bridge
Mary J ni R&B artists. Yeye ndie alianzisha style ya R&B yenye beat za hiphop yaani beat ambayo msanii anaweza kuimbia hip hop na akaimbia pia.Marry J Bridge ni soul$HipHop Queen
Bro, unamjua marry j blige vizuri au?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Marry j.Bridge hapigi rbn
Muongezea na "not gonna cry" , Be without you, Share my world,Unaifahamu Family Affairs?
Kesho sikiliza album Karyn Layvonne WhiteR.i.p Whitney
Ha ha ha ha ha ha bro.... Unaijua hiphop bro....?!Sasa unazungumzia kundi ? Au yeye marry j bridge?
Yeye huyo anagonga hip pop,,na soul muzic,,,
Sasa unazungumzia kundi ? Au yeye marry j bridge?
Yeye huyo anagonga hip pop,,na soul muzic,,,
Unajua ile style anaimba ni country, kama anayoimba Michael Bolton au shania twain. Ila sababu imekaa maadhi ya taratibu huwa tunaita slowjams but ile ni country song ya kisasa....Hivi celine dion alikuwa anaimba RnB? Hebu wataalamu mtusaidie kuchanganua ain za muziki.