Hivi atakuja tokea mwanamuziki zama hizi wa RnB kama Celine Dion

Hivi atakuja tokea mwanamuziki zama hizi wa RnB kama Celine Dion

Wengi wanasema Whitney Houston sjui Kwa sababu ni mwamerica , ila nyimbo za Celine Dion ni impressive Sana na romantic haswa , kuna zile Pini New day has come , My heart will Go on , love doesn't ask why .... Huyu mama ni chuma bhana
Tafuta nyimbo za dianarose kuna someday,pia missing you alimuimbia marehemu marvin gaye ndio utajua kuna mafundi wa mziki
 
Sasa unazungumzia kundi ? Au yeye marry j bridge?

Yeye huyo anagonga hip pop,,na soul muzic,,,
eti kundi[emoji23]humu kuna watoto hawajui mziki, ila wanajitutumua kujifanya nao wakongwe[emoji23][emoji23]
 
Binafsi namkubali sana huyu mama.

Katika career yake ya mziki binafsi sijawahi sikia skendo yoyote serious inayomhusu.pili nyimbo zake hajiexpose sana mwili wake ili auze album zake.. ni nyimbo unaweza angalia hata na familia yako.

Nyimbo zake zinatuliza nafsi, zinaponyesha maumivu ya moyo kwa waliotendwa..pia zina inspire never to give up...
Binafsi ngoma zake zote nazikubali.

Huyo ndio Celine dion mwenye asili ya canada
Hujui mziki wenye Whitney Houston yule mama Mungu amrehemu, alijua kuimba Celin wa Kawaida sana, uzungu ulimbeba
 
Wengi wanasema Whitney Houston sjui Kwa sababu ni mwamerica , ila nyimbo za Celine Dion ni impressive Sana na romantic haswa , kuna zile Pini New day has come , My heart will Go on , love doesn't ask why .... Huyu mama ni chuma bhana
My love is ur love, The greatest love of all, Nazingine sikumbuki majina Houston kamsikilize anavyobadilisha sauti kuendana na mapigo ya muziki hatari
 
Ndiyo maana nikastuka kidogo, ila nadhani rbn na pop zinachananya watu. Mimi hadi leo nikiambiwa bad ya Michael Jackson ni rnb huwa sielewi kabisa. Binafsi huwa naona ni pop yenye element za funk...[emoji3][emoji3]

Pop na Rnb ni miziki tofauti kabisa, asiyeujua muziki labda anaweza akachanganya!!
 
amna atakae tokea kama yeye m mwenyew ni mfatiliaji wa nyimbo zake kitambo sana namkubali pia
 
Eeh bana Celine Dione hajawahi kuwa mwanamziki wa Rnb hata siku moja...fanya homework kwenye aina za Muziki.

Rnb malkia wake ni Marry J Bridge
Ana mix, anaimba, soul country music, pop music.
 
Mtoa mada cha kwanza Celine sio mwanamuziki wa Rnb kama unavyotaka kuamimisha watu, huyo miziki yake ni pop na soft rock..

Angalau Mariah Carey na Whitney unaweza kuwaweka kwenye RnB, japo whitney naye kafanya nyimbo nyingi za pop na soul..

Hapo kwenye ugwiji wa muziki sidhan kama kuna anayemfikia Whity, na sidhan kama atatokea mwanamuziki wa kike wa kariba yake, hao akina Celine na Mariah Carey bado ni cha mtoto kwa Whity hata wao wamewahi kili hilo hadharani!
 
Labda wkt huu mnaweza kusema aliye bora lkn 70s, 80s. Bora ni wengi sana na hata during 90s sema levels sema tonaafautiana kutokana na aina ya watu fulani na wakati husika.
 
Marry J Bridge ni soul$HipHop Queen
Mary J ni R&B artists. Yeye ndie alianzisha style ya R&B yenye beat za hiphop yaani beat ambayo msanii anaweza kuimbia hip hop na akaimbia pia.

Yeye ndie alileta hiyo flavour. Then kuna mzee baba joe thomas yeye akaja na style ya ile anaimba verse ya kwanza, ya pili halafu ya tatu anampa collaboration msanii wa hiphop ashuke nayo......
 
Marry j.Bridge hapigi rbn
Bro, unamjua marry j blige vizuri au?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mary anaimba R&B mzee baba...... Umemchanganya na marry yupi?! Tena anaimba ile yenyewe ile....
 
Two GOAT
Celine Dione
Enya

Wengine:
Whitney Houston
Mariah Carey
MJB
J Lopez
Kerry Hilson
Beyonce & family
Ashanti
 
Sasa unazungumzia kundi ? Au yeye marry j bridge?

Yeye huyo anagonga hip pop,,na soul muzic,,,
Ha ha ha ha ha ha bro.... Unaijua hiphop bro....?!

Huyo ni queen wa R&B yenye flavour ya hiphop katika biti, na elements za soul.... But major yake ni R&B music
 
Hivi celine dion alikuwa anaimba RnB? Hebu wataalamu mtusaidie kuchanganua ain za muziki.
Unajua ile style anaimba ni country, kama anayoimba Michael Bolton au shania twain. Ila sababu imekaa maadhi ya taratibu huwa tunaita slowjams but ile ni country song ya kisasa....
 
Back
Top Bottom