Wengi wanasema Whitney Houston sjui Kwa sababu ni mwamerica , ila nyimbo za Celine Dion ni impressive Sana na romantic haswa , kuna zile Pini New day has come , My heart will Go on , love doesn't ask why .... Huyu
Kwelii mkuu...bila shaka ataziona hapaMuongezea na "not gonna cry" , Be without you, Share my world,
Kweli kabisa mkuu!Ana mix, anaimba, soul country music, pop music.
Nilichogundua hapa mkuu...wengi hilukimbilia kubisha lakini hawaijui hiyo R&B ni ipi wala historia yake.Mary J ni R&B artists. Yeye ndie alianzisha style ya R&B yenye beat za hiphop yaani beat ambayo msanii anaweza kuimbia hip hop na akaimbia pia.
Yeye ndie alileta hiyo flavour. Then kuna mzee baba joe thomas yeye akaja na style ya ile anaimba verse ya kwanza, ya pili halafu ya tatu anampa collaboration msanii wa hiphop ashuke nayo......
Nimecheka kifala!!!Zwuchu
Mariah carey naye ni kichwa balaaKuna ngoma aliimba Whitney Houston na Mariah Carey inaitwa when you believe......
Aiseee ule wimbo huwa unanichukua sana na una message nzuri sana...
FactNi mzuri huyo lakini haoni ndani kwa Marehemu Whitney Houston.
Hata mimi nikisikiliza naona hivyo, ila ukienda wikipedia wanaiweka kama R&B. Pia kuna video moja niliicheki youtube ikieleza aina maarufu za muziki, kwenye R&B akaitolea mfano Bad. Sasa nikawa najiuliza ni sababu zipi zinafanya hawa watu waiweke kundi la R&BBad ni pure Pop music sio R&B hata kwa 5% sio kabisa.......
Papasa kichwa mjusi kafiri, nisafishe mtaro...
...kishtobe, mshedede mtukutu azame kwenye kisima!
Ile Ni pop Wala sio RnBile ni RNB kweli?
Haijawahi kuwa R&B ile nyimbo. Ni pure pop. Hakuna R&B ya mapigo ya vileHata mimi nikisikiliza naona hivyo, ila ukienda wikipedia wanaiweka kama R&B. Pia kuna video moja niliicheki youtube ikieleza aina maarufu za muziki, kwenye R&B akaitolea mfano Bad. Sasa nikawa najiuliza ni sababu zipi zinafanya hawa watu waiweke kundi la R&B
we unajua..Eeh bana Celine Dione hajawahi kuwa mwanamziki wa Rnb hata siku moja...fanya homework kwenye aina za Muziki.
Rnb malkia wake ni Marry J Bridge
atakuwa hajui mziki kabisa huyu ndugu yetu wa karibuNi mzuri huyo lakini haoni ndani kwa Marehemu Whitney Houston.
Duu...sawa mkuu,,,Bro, unamjua marry j blige vizuri au?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mary anaimba R&B mzee baba...... Umemchanganya na marry yupi?! Tena anaimba ile yenyewe ile....
Wewe umemjuwa huyo Dada lini? ana madude alikuwa anapiga miaka ya 90 na anafokafoka..Ha ha ha ha ha ha bro.... Unaijua hiphop bro....?!
Huyo ni queen wa R&B yenye flavour ya hiphop katika biti, na elements za soul.... But major yake ni R&B music
Hapo ni queen of hip hop au Queen of rnb,?Ha ha ha ha ha ha bro.... Unaijua hiphop bro....?!
Huyo ni queen wa R&B yenye flavour ya hiphop katika biti, na elements za soul.... But major yake ni R&B music