Hivi atakuja tokea mwanamuziki zama hizi wa RnB kama Celine Dion

Hivi atakuja tokea mwanamuziki zama hizi wa RnB kama Celine Dion

Wengi wanasema Whitney Houston sjui Kwa sababu ni mwamerica , ila nyimbo za Celine Dion ni impressive Sana na romantic haswa , kuna zile Pini New day has come , My heart will Go on , love doesn't ask why .... Huyu

Muongezea na "not gonna cry" , Be without you, Share my world,
Kwelii mkuu...bila shaka ataziona hapa
 
Mary J ni R&B artists. Yeye ndie alianzisha style ya R&B yenye beat za hiphop yaani beat ambayo msanii anaweza kuimbia hip hop na akaimbia pia.

Yeye ndie alileta hiyo flavour. Then kuna mzee baba joe thomas yeye akaja na style ya ile anaimba verse ya kwanza, ya pili halafu ya tatu anampa collaboration msanii wa hiphop ashuke nayo......
Nilichogundua hapa mkuu...wengi hilukimbilia kubisha lakini hawaijui hiyo R&B ni ipi wala historia yake.
 
Alikuwa na kisauti flani hivi huwezi kuiga..ila tumpe sir robert kelly credit,maana whitney,celine na toni braxton ni kazi zake

Shout out to R kelly
 
Vichwa vyangu hivi
1.R kelly
2.celline dion
3.whitney houston
4.tony braxton
5.mariah carey
 
Bad ni pure Pop music sio R&B hata kwa 5% sio kabisa.......
Hata mimi nikisikiliza naona hivyo, ila ukienda wikipedia wanaiweka kama R&B. Pia kuna video moja niliicheki youtube ikieleza aina maarufu za muziki, kwenye R&B akaitolea mfano Bad. Sasa nikawa najiuliza ni sababu zipi zinafanya hawa watu waiweke kundi la R&B
 
Ah aha
Asante mkuu!
Basi wakiongelewa wanamziki hawa wengine waachwe kama walivyo;
Wimbo wa 1999 unausikiza bado upo na power..
Papasa kichwa mjusi kafiri, nisafishe mtaro...

...kishtobe, mshedede mtukutu azame kwenye kisima!
 
Hata mimi nikisikiliza naona hivyo, ila ukienda wikipedia wanaiweka kama R&B. Pia kuna video moja niliicheki youtube ikieleza aina maarufu za muziki, kwenye R&B akaitolea mfano Bad. Sasa nikawa najiuliza ni sababu zipi zinafanya hawa watu waiweke kundi la R&B
Haijawahi kuwa R&B ile nyimbo. Ni pure pop. Hakuna R&B ya mapigo ya vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeh bana Celine Dione hajawahi kuwa mwanamziki wa Rnb hata siku moja...fanya homework kwenye aina za Muziki.

Rnb malkia wake ni Marry J Bridge
we unajua..
maana ilikua mary je bridge anakimbiza kwa wanana na R. Kelly anakimbiza kwa wanaume
 
Bro, unamjua marry j blige vizuri au?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mary anaimba R&B mzee baba...... Umemchanganya na marry yupi?! Tena anaimba ile yenyewe ile....
Duu...sawa mkuu,,,

Nilikuwa sijuwi hilo,,,
Screenshot_2020-12-10-23-03-57.jpeg
Screenshot_2020-12-10-22-57-15.jpeg
 
Ha ha ha ha ha ha bro.... Unaijua hiphop bro....?!

Huyo ni queen wa R&B yenye flavour ya hiphop katika biti, na elements za soul.... But major yake ni R&B music
Wewe umemjuwa huyo Dada lini? ana madude alikuwa anapiga miaka ya 90 na anafokafoka..
 
Ha ha ha ha ha ha bro.... Unaijua hiphop bro....?!

Huyo ni queen wa R&B yenye flavour ya hiphop katika biti, na elements za soul.... But major yake ni R&B music
Hapo ni queen of hip hop au Queen of rnb,?
Screenshot_2020-12-10-23-03-57.jpeg
 
Back
Top Bottom