Hivi atakuja tokea mwanamuziki zama hizi wa RnB kama Celine Dion

Hivi atakuja tokea mwanamuziki zama hizi wa RnB kama Celine Dion

Boei

Senior Member
Joined
Oct 4, 2020
Posts
106
Reaction score
218
Binafsi namkubali sana huyu mama.

Katika career yake ya mziki binafsi sijawahi sikia skendo yoyote serious inayomhusu.pili nyimbo zake hajiexpose sana mwili wake ili auze album zake.. ni nyimbo unaweza angalia hata na familia yako.

Nyimbo zake zinatuliza nafsi, zinaponyesha maumivu ya moyo kwa waliotendwa..pia zina inspire never to give up...
Binafsi ngoma zake zote nazikubali.

Huyo ndio Celine dion mwenye asili ya canada
 
Back
Top Bottom