Hivi atakuwa na Mimba

Hivi atakuwa na Mimba

Prettinho

Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
48
Reaction score
2
jamani naomba mnisaidie kuna rafiki yangu kaja kuniuliza kuhusu hii dalili,,,, ya mapigo ya moyo kudunda fasta kwa muda wa siku tatu sasa,,,, alafu katoka kudate na mwenza wake wiki mbili zilizopita itakuwa mimba au presha,,,
 
Mimba ... alafu vipimo vipo famasi sh 1000 kojoa tumbukiza kile kipima mimba utajua
 
Mwambie aanze kununua pampas mapema!
 
Back
Top Bottom