Hivi Aucho ataweza kurejea uwanjani kabla ya kukutana na Mamelod first leg?

Hawezi, ila nadhani Pacome anaweza kuicheza hio namba kwa usahihi zaidi. Sureboy atatuchelewesha, ni mzito sana.
Wewe umeanza kufuatilia Mpira lini? hiyo namba Sure boy au Mkude wanatosha kabisa, tena for my opinion kocha ampe nafasi ya kucheza Mkude sasa hivi apate match fitness ili mechi na Mamelodi hiyo namba 6 aanze Mkude ana experience kubwa ya mechi kubwa Kwa muda mrefu
 
Mkude mvivu,hakabi,kazi kubwa anayoweza ni kuhamisha upande tu
 
Asipokuepo Aucho tunapigwa ndani nje...!

Pengo la Aucho hakuna wa kuliziba Yanga.

Alivyoikosa Mechi ya Fainali Shirikisho, nilijua hatutatoboa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…