Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wewe umeanza kufuatilia Mpira lini? hiyo namba Sure boy au Mkude wanatosha kabisa, tena for my opinion kocha ampe nafasi ya kucheza Mkude sasa hivi apate match fitness ili mechi na Mamelodi hiyo namba 6 aanze Mkude ana experience kubwa ya mechi kubwa Kwa muda mrefuHawezi, ila nadhani Pacome anaweza kuicheza hio namba kwa usahihi zaidi. Sureboy atatuchelewesha, ni mzito sana.