Hivi Aucho ataweza kurejea uwanjani kabla ya kukutana na Mamelod first leg?

Hivi Aucho ataweza kurejea uwanjani kabla ya kukutana na Mamelod first leg?

Aisee. Kwamba Simba ili iweze kumfunga Al hly iwe na nusu ya ubora wa Yanga ndo unachomaanisha? Yaani hichi kiwango cha Simba cha sasa inatakiwa ipambane ifike angalau nusu ya ubora wa Yanga na ikifika hiyo nusu ya ubora wa Yanga Al hly anatoka kabla hata ya mechi ya marudiano. Kwa Analysis hii Mame atakula 5G nyumbani na ugenini. Yanga 10-0 Mame na Al hly ana bahati sana kuongoza kundi mbele ya Yanga maana inahitajika nusu ya ubora wake tu kumuadhibu.
Hujanielewa mkuu maana Yangu , Simba imekosa muendelezo wa kiwango bora msimu huu ila kama tutakua na angalau ya nusu ya kiwango cha Yanga na kisha tukachanganya na uzoefu wetu tunamtoa Ahly.

Yanga wana timu imara msimu huu shida naona hawan uzoefu kama wakubwa wengine,simba sisi tuna uzoefu ila hatuna timu nzuri nadhani umenielewa hapo.
 
Alipata yellow ya kijinga sana iliyomfanya asicheze Hio mechi, mechi ilikua mwishoni kuisha tumeshashinda comfortable kabisa akaenda kumsuma mchezaji timu pinzani pasipo na Sababu yoyote, nilichukia sana
Jamaa ni mchezo mzuri sema anatabia ya utoto kidogo hatendi kama professional footballer, wakati mungine anagharimu timu .
 
Hawezi, ila nadhani Pacome anaweza kuicheza hio namba kwa usahihi zaidi. Sureboy atatuchelewesha, ni mzito sana.
 
Pacome namba ya aucho??? 😃😃😃

Aisee gamondi akikuskia atakupiga vibao acha kabisa
Sheikh yahaya wewe mpira hujui. Mechi yetu ya away na beluizdad hadi tunafungwa, Aucho hakuwepo, nani alicheza namba yake..?
 
Sheikh yahaya wewe mpira hujui. Mechi yetu ya away na beluizdad hadi tunafungwa, Aucho hakuwepo, nani alicheza namba yake..?
Hujui mpira wewe, yaani pacome acheze chini ya mudathir uwanjani??? Hata kocha juha kiasi Gani hawezi fanya suicidal formation kama Hio, siku gamondi akifanya huo ujinga atafukuzwa hapo hapo, kiufupi pacome hawezi na hajawahi kucheza namba ya aucho.
 
Sheikh yahaya wewe mpira hujui. Mechi yetu ya away na beluizdad hadi tunafungwa, Aucho hakuwepo, nani alicheza namba yake..?
Mkuu embu fuatilia vizuri, Pacome hakuwahi cheza nafasi ya aucho. Mechi ya away dhidi ya Belouizdad mbona Aucho alikuwepo uwanjani.
 
Hujanielewa mkuu maana Yangu , Simba imekosa muendelezo wa kiwango bora msimu huu ila kama tutakua na angalau ya nusu ya kiwango cha Yanga na kisha tukachanganya na uzoefu wetu tunamtoa Ahly.

Yanga wana timu imara msimu huu shida naona hawan uzoefu kama wakubwa wengine,simba sisi tuna uzoefu ila hatuna timu nzuri nadhani umenielewa hapo.
Ok boss. Ngoja tucheki mechi Simba vs FG
 
Mh sure boy au Mauya kwa wale jamaa ni mbingu na ardhi.
Acha uoga sure boy mnamchukulia powa sana
Yeye ndiye aliwavuruga club africain ni yeye ndiyo anafanya mambo yanakuwa sawa Aucho asipokuwepo kwahiyo usimjudge Bali mpe muda acheze tu Aucho kuumia kwake muache apone
 
Droo imepangwa na ni dhahiri shahiri, Yanga imekutana na timu ambayo hakuna timu anayetamani akutane nae. Mamelod ndio timu inayoogopwa na kila mmoja ila Yanga ndio imepangwa nao.

Ni vizuri kupimana ubavu na squad ya Yanga iliyokamili ila kama ikitokea kuna mchezaji wa muhimu kamiss basi ni bahati mbaya unaenda vitani ukiwa haujabeba silaha zako kamili lakini lazima ukapigane.

Je, Aucho atakuwa amerejea uwanjani? Yanga bila Aucho ina struggle sana ni roho ya Yanga iliyo bora.
Neno " kila mmoja "hapa unakosea ,ondoa hili neno ,unaacha kuogopa team iliyochukua kombe mara tatu na kuingia final nne mfululizo na huyo ni mwamba wa africa NATIONAL AHLY,unaigopa team iliyofika fainal moja na kuchukua kombe mara mmoja .
 
Sheikh yahaya wewe mpira hujui. Mechi yetu ya away na beluizdad hadi tunafungwa, Aucho hakuwepo, nani alicheza namba yake..?
Nawe achaga ubishi buana wewe,pacome tangu lini anacheza namba sita bwana??ubishi tuu
 
Aucho alikosa mechi za muhimu katika historia ya yanga fainali ya cafcc.

Na sasa muda ni mwalimu mzuri je itajirudia au itakuwaje tusubiri ,

Aucho ni mzuri wa kuzuia akisaidiwa na nguvu, stamina na urefu na ni mzuri wa pasi ndefu za counter attack , lakini madhaifu yupo slow na vilevile huwa anasababisha sana faulo

Sureboy ni mzuri wa kukimbiza mpira kushambulia na kutoa pasi fupi fupi .
Japo ana penda mpira wa anao anao labda kwa vile zilikuwa mechi ndogo ndogo
 
Neno " kila mmoja "hapa unakosea ,ondoa hili neno ,unaacha kuogopa team iliyochukua kombe mara tatu na kuingia final nne mfululizo na huyo ni mwamba wa africa NATIONAL AHLY,unaigopa team iliyofika fainal moja na kuchukua kombe mara mmoja .
Kuna kitu kinaitwa current form. Huyo Al Ahly si juzi tu katolewa na Mamelod katika AFL. au umesahau? Mamelod ndio timu iliyo katika kiwango bora kwasasa. Al Ahly wana tatizo kubwa sana la kushindwa kutumia nafasi wanazotengeneza msimu huu. Mechi ya Simba vs Al Ahly kwa Mkapa, Al Ahly katengeneza nafasi nyingi sana kama wangekuwa makini wangetoka hata na magoli 6 kule Cairo marudiano hivyo hivyo. Mechi ya Al Ahly vs Yanga hivyo hivyo zote mbili Al Ahly kawa na tatizo hilo la kushindwa kutumia nafasi vyema.
 
Back
Top Bottom