Hivi awa halopesa hawana huduma ya kupiga tafu?

Hilo limesababisha niirudie laini yangu ya tigo.
Yaani halotel hata kama umekwama 5k hawakopeshi.
Ila kama ni inshu za vocha kopa kwa kubonyeza *149*63#
Wajinga sana afu washamba, dunia ya sasa bila promision hupati wateja. Nishavunja line Yao
 
Mtu unalala mwanza hotel yenye hazi ya nyota tano Leo unalialia kupiga tafu na halotel kweli bongo watu majigambo mimi na walimu wangu sijawahi kusongesha wala nipige tafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…