Hivi Azam TV ni burudani kwa wote au burudani kwa waliolipia? Nashauri wabadili kauli ile

Hivi Azam TV ni burudani kwa wote au burudani kwa waliolipia? Nashauri wabadili kauli ile

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Haiwezekani kwamba Azam TV kuwa ni burudani kwa wote kama wanavyojinasibu. Mi naona hiyo kauli ibadilike na kiwa Azam TV burudani kwa waliolipia mana bila kulipia huoni kitu
 
ZIPO CHANNEL ZA BURE ZA KINA MWAMPOSA, NA MANABII KADHAA VIPENZI VYA WATANZANIA..
 
Haiwezekani kwamba azam tv kuwa ni burudani kwa wote kama wanavyojinasibu. Mi naona hiyo kauli ibadilike na kiwa azam tv burudani kwa waliolipia mana bila kulipia huoni kitu
Burudani kwa wote ni PUMZI tu.
 
Tuliwahi kuambiwa tubaki na furushi za givi zetu kama hatutaki kulipia msalani pale mbezi

Hakuna cha bure duniani

Lipia kifurushi chako ili uwe miongoni mwa hao wote wanaopata burudani
 
Haiwezekani kwamba azam tv kuwa ni burudani kwa wote kama wanavyojinasibu. Mi naona hiyo kauli ibadilike na kiwa azam tv burudani kwa waliolipia mana bila kulipia huoni kitu
Watanzania wengi wanadeka sana kwa kuzoeshwa huduma za bure zitolewazwo na serikali. Inafikia kiwango haya kutamani huduma zitolewazwo na wafanyabiashara nazo zitolewe bure!

Ni gharama kubwa sana kwa uendeshaji wa biashara ya luninga binafsi kama ya AZAM. Kuwa na kauli mbiu ya kibiashara ni jambo la kawaida sana.
 
Wote wanaolipia,acha kupenda vya bure,utauponza!!
 
Haiwezekani kwamba Azam TV kuwa ni burudani kwa wote kama wanavyojinasibu. Mi naona hiyo kauli ibadilike na kiwa Azam TV burudani kwa waliolipia mana bila kulipia huoni kitu
Na ndicho wanachomaanisha. Kwani ukiambiwa "NMB KARIBU YAKO" ndio unaenda tu kuchukua hela kwenye ATM zao hata kama huna akaunti?
 
Back
Top Bottom