Hivi baada ya kuibuka Kizinkazi Chatolite ya Jiwe inaendeleaje na baada ya Kizi tungojee Songea?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Karibu marais waliopita, ni Magufuli pekee aliyetumia raslimali za umma kujenga kwao. Siku hizi nasikia Kizinkazi. Je baada ya hapo, tutegemee Songea kwa Nchimbi? Je hii ni haki kwa mikoa ambayo haijawahi na wala haitatoa marais? Kwanini viongozi wetu hawakujifunza toka Gbadolite na Yamoussokro kwa Felix Houphouet-Boigny uko Cote d'Ivoire?
 
Baada ya Daktari Samia, rais ajaye ni Daktari Nchimbi?
Naona baada ya Daktari Kikwete, nchi yetu imekuwa ikiongozwa na madaktari tu.
 
Karibu marais waliopita, ni Magufuli pekee aliyetumia raslimali za umma kujenga kwao. Siku hizi nasikia Kizinkazi. Je baada ya hapo, tutegemee Songea kwa Nchimbi? Je hii ni haki kwa mikoa ambayo haijawahi na wala haitatoa marais? Kwanini viongozi wetu hawakujifunza toka Gbadolite na Yamoussokro kwa Felix Houphouet-Boigny uko Cote d'Ivoire?
Chato kifo cha Mende-In Babu Duni voice
 
Waliusomea na kuusotea wapi huo udaktari? Kwani siyo feki? Kumbe hujui? Unataka niwaiteje?
Kwani kigezo kikuu cha kuitwa Daktari ni lazima uwe umesomea au kuusotea darasani ?
 
Karibu marais waliopita, ni Magufuli pekee aliyetumia raslimali za umma kujenga kwao. Siku hizi nasikia Kizinkazi. Je baada ya hapo, tutegemee Songea kwa Nchimbi? Je hii ni haki kwa mikoa ambayo haijawahi na wala haitatoa marais? Kwanini viongozi wetu hawakujifunza toka Gbadolite na Yamoussokro kwa Felix Houphouet-Boigny uko Cote d'Ivoire?
Oviasly
 
Back
Top Bottom