Hivi Baadhi Ya Watanzania Wa JF (Kenyan Forums) Huwa Na Low Self-Esteem?

mleta mada,
inaonekana unaumia sana rohoni mwako katika hili.pole sana.

kwanini mnalalamika kipindi hiki ambacho hatamu ya maendeleo chini ya jemadari wetu JPM imeshika kasi tanzania?

hatukuona mkilalamika wakati wa JK.
ni ishara kwamba kisu cha ngariba kimeanza kukata mahala pake.

hatutaacha....tutaleta kila lililo jema tz kwenye kenyaforum na tutawa-tag pia,maadam hatuvunji sheria za nchi wala hatukiuki sera za JF.

pia hamkuzuiwa kufanya hivyo mlipokuwa mnaleta au mlipokuwa mnatu-tag thread zinazohusu maendeleo ya kenya kwenye thread zisizohusu masuala ya kenya.

karibu.sana..[emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

mchanganuo mdogo wa kusafirisha mafuta ghafi kupitia bomba la mafuta uganda-tanzania.
mapipa 200000 kwa siku x 28000 = tsh 5600000000.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Haya, delete account na nisikyone tena hapa
 
Kwa kifupi wakenya ni Wanafiki sana, huwa sina story nao.

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile App
 
Haya huwa yanafanya usafi wapi mbona sijawahi yaona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usafi sio magari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…