Hivi Baadhi Ya Watanzania Wa JF (Kenyan Forums) Huwa Na Low Self-Esteem?

Bado unazungumzia hiyo list!?!?
Mi nazungumzia reality mkuu.
Reality nikwamba hii ndo Nairobi
images-35.jpeg
 
mleta mada,
inaonekana unaumia sana rohoni mwako katika hili.pole sana.

kwanini mnalalamika kipindi hiki ambacho hatamu ya maendeleo chini ya jemadari wetu JPM imeshika kasi tanzania?

hatukuona mkilalamika wakati wa JK.
ni ishara kwamba kisu cha ngariba kimeanza kukata mahala pake.

hatutaacha....tutaleta kila lililo jema tz kwenye kenyaforum na tutawa-tag pia,maadam hatuvunji sheria za nchi wala hatukiuki sera za JF.

pia hamkuzuiwa kufanya hivyo mlipokuwa mnaleta au mlipokuwa mnatu-tag thread zinazohusu maendeleo ya kenya kwenye thread zisizohusu masuala ya kenya.

karibu.sana..[emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

mchanganuo mdogo wa kusafirisha mafuta ghafi kupitia bomba la mafuta uganda-tanzania.
mapipa 200000 kwa siku x 28000 = tsh 5600000000.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
344621232bf37ec4212d903326a9403b.jpg
677e2a52ed17bf320f0e3493580b1f93.jpg

[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wewe umekuja Dar sisi tumezaliwa Dar na Nairobi tumeishi pia. Niye ndowale watu mkifika mjini mnajifanya kuujua sana kuliko wenyeji. Nairobi wakikuonyesha hizi gari za uchafu na kufanya usafi wa jiji za kisasa. Mimi nahama JF wakikuonyesha au hata wewe ukinionyesha. Tutajua jiji lipi chafu au safi.View attachment 559337View attachment 559338 View attachment 559339View attachment 559340 View attachment 559341View attachment 559342 View attachment 559343View attachment 559346View attachment 559348 View attachment 559355View attachment 559357

Haya, delete account na nisikyone tena hapa
httpwww_businessdailyafrica_comimageview-2358184medRes770739-n049ddz-truck.jpg
httpsi_ytimg_comvirbjp6zRdaCMhqdefault.jpg
Cleaning truck.jpg
httpwww_nation_co_keimageview-2251692highRes711217-maxw600-mtu6ig-NNCOUNTYWASTE2003h.jpg
 
Kwa kifupi wakenya ni Wanafiki sana, huwa sina story nao.

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile App
 
Wewe umekuja Dar sisi tumezaliwa Dar na Nairobi tumeishi pia. Niye ndowale watu mkifika mjini mnajifanya kuujua sana kuliko wenyeji. Nairobi wakikuonyesha hizi gari za uchafu na kufanya usafi wa jiji za kisasa. Mimi nahama JF wakikuonyesha au hata wewe ukinionyesha. Tutajua jiji lipi chafu au safi.View attachment 559337View attachment 559338 View attachment 559339View attachment 559340 View attachment 559341View attachment 559342 View attachment 559343View attachment 559346View attachment 559348 View attachment 559355View attachment 559357
Haya huwa yanafanya usafi wapi mbona sijawahi yaona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usafi sio magari...

Back
Top Bottom