Hivi Baadhi Ya Watanzania Wa JF (Kenyan Forums) Huwa Na Low Self-Esteem?

Hivi Baadhi Ya Watanzania Wa JF (Kenyan Forums) Huwa Na Low Self-Esteem?

Hay guys, we are because you are and vise versa! You can live without a friend but not without a neighbor! And hectic times are always there for human beings and therefore bestows no cleverness nor foolishness to the survivors!
Take care and cheers!
Wise words. Thanks.
 
We help each other out when in crisis. Kenya cannot sit back when Tanzania is faced with a similar humanitarian crisis, can it? Remember the massive landslide that killed an estimated 300 pipo in Uganda, the Somalia war and drought crisis, the earthquake in Tanzania, the ebola epidemic in west Africa......Kenya played its role to assist.

We all need each other, for no man, or country for that matter is an island.
I agree with you... Tukiacha mambo ya Tz VS Ke, Tanzania na Kenya ni majirani washindani wanaosaidiana (nadhani bila wao kujua), kwa kuwa Tanzania inaongeza kasi ya maendeleo ya kiuchumi ili kuipiku Kenya, na Kenya inaongeza kasi kwa kuwa haitaki kupitwa na Tanzania... Hapo ndipo maendeleo ya haraka yatapatikana kwa nchi zote mbili...
 
Hay guys, we are because you are and vise versa! You can live without a friend but not without a neighbor! And hectic times are always there for human beings and therefore bestows no cleverness nor foolishness to the survivors!
Take care and cheers!
Wise words. Thanks.
 
Kununua nafaka ni part of business, labda kuwe na punguzo maalum la bei au tax exemption!

Kinachokuwepo hapo ni kuwa kununua tz kuna faida kidogo maana gharama zinapungua!


Yes, ni lazma iwe cheaper kwa sisi kununua nafaka kutoka Tanzania than kutoka sehemu nyingine due to the proximity sanasana. Hamwezi tuuzia mahindi bei sawa ba SA au Brazil.

Kenya pia haiwauzii bidhaa zao bei sawa na bidhaa kutoka ie SA.
 
I agree with you... Tukiacha mambo ya Tz VS Ke, Tanzania na Kenya ni majirani washindani wanaosaidiana (nadhani bila wao kujua), kwa kuwa Tanzania inaongeza kasi ya maendeleo ya kiuchumi ili kuipiku Kenya, na Kenya inaongeza kasi kwa kuwa haitaki kupitwa na Tanzania... Hapo ndipo maendeleo ya haraka yatapatikana kwa nchi zote mbili...
Kweli kabisa ndugu. Kuna some benefits kutokana na mashindano haya. Lakini cha muhimu ni sisi kusaidian tunapokumbwa na matatizo. Ndio ujirani muema huo.
 
JF ni ya kila mtu, ndio maana hakuna restrictions zozote zinazomzuia mtumiaji wa nchi yoyote kushiriki katika mijadala inayoanzishwa katika forums zake, nyie wakenya kujiona mpo juu mnataka kuleta ubaguzi wa kujitenga, hili kuitwa kenyan political forum haimaanishi ni jukwaa la wakenya pekee, ila tunategemea mengi yataihusu kenya na machache either yatahusishwa na kenya au yatakuwa ni nje ya kenya na ndio maana mods huwa kuna baadhi ya threads ambazo huwa wanaziondoa.... Hivyo acheni kujibagua, ukabila mlionao kenya msiulete JF, kiwango cha ukomavu kiakiakili huangaliwa na mambo mengi including ukabila, ndio maana wengi wanasema ni vigumu kwa mjaluo kuwa rais wa Kenya, its a shame kwa nchi mnayoisifia eti ina MAENDELEO halafu winning key yenu ni ukikuyu na ujaluo, PUMBAVU ZENU, halafu hii tabia ya kukashifu na kuita mijadala ya majukwaa ya tanzani eti ya kitoto nadhani ni utoto zaidi, kwani kenya mna nini hasa cha kujiona nyie ndio bora kuliko wengine, au kwa vile asilimia kubwa ni weusi km mkaa, au kwakuwa Wanawake wa kenya ni wabaya kuliko wanaume, ni kipi hasa mbajivunia nyie? Mnaishi kwa mazoea, mnaongozwa na historia, ila maisha yamebadilika sana, kuweni makini, mtabakia kujisifia hvyhvy wakt wenzenu wanapanda, hamjiulizi kwanini muingereza alimtawala muamerica lakini leo america ipo vizuri kuliko uingereza, hamjiulizi south africa ilikuwa wapi before 1994 na ipo wapi leo 2017,time will tell, na mjitahidi kupitia international forums muone ni nini tanzania wanafanya compare to what kenya is doing currently ndio mtajua mpo wapi mpk sasa

Mfano mzuri, mwaka 1990 1ksh ilikuwa sawa na 7.8 tshs, 2000 1ksh ilikuwa sawa na 15 tshs 2010 1 ksh ilikuwa sawa na 20 tshs ila leo miaka 17 imepita 1kshs ni sawa na 22 tshs, si ajabu in 2015 ikawa 15 tshs, muda utaongea, acheni majigambo ya nchi na nchi, hasa kanchi kenu ambako zaidi ya utalii na vijiviwanda vya blue band na sindano za kushonea u are empty, tanzania kuna madini, kuna gas asilia na mafuta, national parks zipo, mount Kilimanjaro, ngorongoro crater, nk ni baadhi ya vivutio, kilimo kipo vizuri, tuna amani, elimu inainuka kila kukicha, uwekezaji unainuka, mmetuzidi nini nyie? Only time can tell, uvumilivu na subra ndio vya muhimu, soon or later tutakuwa america na mtakuwa uingereza
 
Back
Top Bottom