H HAKI KWA WOTE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2022 Posts 1,108 Reaction score 1,132 Mar 1, 2025 #1 Hivi bado kuna Waafrika wanaamini wataenda mbinguni kwa kwa kubatizwa na kusilimu majina ya kizungu na kiarabu? Ujinga ukizidi hubadirika kuwa dhambi!!
Hivi bado kuna Waafrika wanaamini wataenda mbinguni kwa kwa kubatizwa na kusilimu majina ya kizungu na kiarabu? Ujinga ukizidi hubadirika kuwa dhambi!!
Huruma siyo malezi JF-Expert Member Joined Jul 18, 2020 Posts 1,433 Reaction score 3,210 Mar 1, 2025 #2 Kwani ni jina au matendo
Al-mukheef JF-Expert Member Joined Feb 2, 2025 Posts 3,727 Reaction score 3,777 Mar 1, 2025 #3 HAKI KWA WOTE said: Ujinga ukizidi hubadirika kuwa dhambi!! Click to expand... Dhambi gani unayoizungumzia wakati wewe huamini hayo mambo
HAKI KWA WOTE said: Ujinga ukizidi hubadirika kuwa dhambi!! Click to expand... Dhambi gani unayoizungumzia wakati wewe huamini hayo mambo
H HAKI KWA WOTE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2022 Posts 1,108 Reaction score 1,132 Mar 2, 2025 Thread starter #4 Huruma siyo malezi said: Kwani ni jina au matendo Click to expand... Kama siyo jina kwanini mnaacha majina yenu ya asili??
Huruma siyo malezi said: Kwani ni jina au matendo Click to expand... Kama siyo jina kwanini mnaacha majina yenu ya asili??
Huruma siyo malezi JF-Expert Member Joined Jul 18, 2020 Posts 1,433 Reaction score 3,210 Mar 2, 2025 #5 HAKI KWA WOTE said: Kama siyo jina kwanini mnaacha majina yenu ya asili?? Click to expand... Matendo ndio yanakutambulisha uhalisia wako Siyo jina, haya mfano umeitwa mwasongwe au kayoko ukawa mbakaji au tapeli vp hapo
HAKI KWA WOTE said: Kama siyo jina kwanini mnaacha majina yenu ya asili?? Click to expand... Matendo ndio yanakutambulisha uhalisia wako Siyo jina, haya mfano umeitwa mwasongwe au kayoko ukawa mbakaji au tapeli vp hapo