jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Kwaiyo mkuu kwenye hiyo laki moja papuchi unahakikisha unaipata kwa wiki mara ngapi?Mi mademu wa kununua siwawezi.. mambo ya kula mzigo huku unajilinda usiibiwe hata usingiz hauji siyawezi.
Mi natongoza bado. Na mpaka nikutongoze ujue akili yangu imeprove huwezi kuwa changudoa. Uzuri ninafanya kazi chuoni na hela ya mizinga midogo midogo ninayo.. sipati shida kupata mahusiano
Mimi nimeshatenga laki 1 kila mwez kwa ajili ya napopata papuchi. Simpi moja kwa moja.. ndani ya hii bajet ya laki kuna vizawadi, kuna vocha, kuna shida zake.. yaani nachezesha gharama za papuch zisizid laki 1 kwa mwez