Hivi bado kuna watu wanatongoza wanawake?

Mi mademu wa kununua siwawezi.. mambo ya kula mzigo huku unajilinda usiibiwe hata usingiz hauji siyawezi.

Mi natongoza bado. Na mpaka nikutongoze ujue akili yangu imeprove huwezi kuwa changudoa. Uzuri ninafanya kazi chuoni na hela ya mizinga midogo midogo ninayo.. sipati shida kupata mahusiano

Mimi nimeshatenga laki 1 kila mwez kwa ajili ya napopata papuchi. Simpi moja kwa moja.. ndani ya hii bajet ya laki kuna vizawadi, kuna vocha, kuna shida zake.. yaani nachezesha gharama za papuch zisizid laki 1 kwa mwez
Kwaiyo mkuu kwenye hiyo laki moja papuchi unahakikisha unaipata kwa wiki mara ngapi?
 
Ni July 2022 now, Bado Miezi mitano tu mwaka huu ukate.

Anyway, Nimekaa hapa sehemu moja kwenye viti virefu, warembo Wazuri kama wote kila nikigeuka, yani mambo ni mteremko.

Inasikitisha sana, tena sana kusikia kama bado kuna vijana wanaohangaika kupiga mistari (yaani kutongoza) mademu.

Niwatakie weekend njema.
Mimi nina miaka 30+ Ila katika maisha yangu nimetongoza kiukweli kabisa kutoka moyoni mara 3 tu..zingine zote navuta tu yaani ni kuita basi😀
 
Mi mademu wa kununua siwawezi.. mambo ya kula mzigo huku unajilinda usiibiwe hata usingiz hauji siyawezi.

Mi natongoza bado. Na mpaka nikutongoze ujue akili yangu imeprove huwezi kuwa changudoa. Uzuri ninafanya kazi chuoni na hela ya mizinga midogo midogo ninayo.. sipati shida kupata mahusiano

Mimi nimeshatenga laki 1 kila mwez kwa ajili ya napopata papuchi. Simpi moja kwa moja.. ndani ya hii bajet ya laki kuna vizawadi, kuna vocha, kuna shida zake.. yaani nachezesha gharama za papuch zisizid laki 1 kwa mwez
Umeweka bajet kabisa mkuu upo serious
 
Kijana mwenzetu baada ya kumwagilia Moyo maji ya kutosha
 
Mi mademu wa kununua siwawezi.. mambo ya kula mzigo huku unajilinda usiibiwe hata usingiz hauji siyawezi.

Mi natongoza bado. Na mpaka nikutongoze ujue akili yangu imeprove huwezi kuwa changudoa. Uzuri ninafanya kazi chuoni na hela ya mizinga midogo midogo ninayo.. sipati shida kupata mahusiano

Mimi nimeshatenga laki 1 kila mwez kwa ajili ya napopata papuchi. Simpi moja kwa moja.. ndani ya hii bajet ya laki kuna vizawadi, kuna vocha, kuna shida zake.. yaani nachezesha gharama za papuch zisizid laki 1 kwa mwez

Wew si ndio uliokuwa unatafuta mchumba humu jf , sasa huo ujasiri wa kutongoza umeupata wap??
 
Kigezo nilichosema umekisahau kuweka. Ama unafikiri wenye hicho kigezo rahisi kukutana nao. Maliza sentesi yako huyo mchumba niliyemtafuta aweje.
 
Kwaiyo mkuu kwenye hiyo laki moja papuchi unahakikisha unaipata kwa wiki mara ngapi?

Kwa wiki akija mara 1 na kulala siku 1 ama 2 inanitosha.. anaweza kuja ijumaa akaondoka jumapili. Then wiki inayofata hivyo hivyo
 
Mystery lady she's in my dream 😁
Ushindwe hawezi kaa hapo kabisaa😂
 
Mi mademu wa kununua siwawezi.. mambo ya kula mzigo huku unajilinda usiibiwe hata usingiz hauji siyawezi.

Mi natongoza bado. Na mpaka nikutongoze ujue akili yangu imeprove huwezi kuwa changudoa. Uzuri ninafanya kazi chuoni na hela ya mizinga midogo midogo ninayo.. sipati shida kupata mahusiano

Mimi nimeshatenga laki 1 kila mwez kwa ajili ya napopata papuchi. Simpi moja kwa moja.. ndani ya hii bajet ya laki kuna vizawadi, kuna vocha, kuna shida zake.. yaani nachezesha gharama za papuch zisizid laki 1 kwa mwez
Hahaha
 
Ni July 2022 now, Bado Miezi mitano tu mwaka huu ukate.

Anyway, Nimekaa hapa sehemu moja kwenye viti virefu, warembo Wazuri kama wote kila nikigeuka, yani mambo ni mteremko.

Inasikitisha sana, tena sana kusikia kama bado kuna vijana wanaohangaika kupiga mistari (yaani kutongoza) mademu.

Niwatakie weekend njema.

Unayemfukuzia hadi kumpigia magoti, ana account Tinder tangu kitambo tu.
 
Back
Top Bottom