Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 4,423
- 9,296
Mnaendaga?
😂😂😂 moto na story za fb binamu kinyama cha hamu….Duu jamaa aenziwe. Alisababishaga nifungue blog nikaoshia kupata USD 0.0037 tu licha ya kukomaa sana.
Power of motivationDuu jamaa aenziwe. Alisababishaga nifungue blog nikaoshia kupata USD 0.0037 tu licha ya kukomaa sana.
CCM huyo hamna kitu hapoDah enzi zetu kila mtu alitamani kuwa na blog iliapige pesa za matangazo blogger ikatubeba tukimtazamia michuzi blog kama vile kioo
Sikuhizi hata bongo5 sidhani kama watu wanafungua tena maana hata BBCswahili holla
Vp huko mnapitiaga?
Sikuwahi juaCCM huyo hamna kitu hapo
Kweli connections muhimuJamaa alikuwa na connection. Mashirika makubwa makubwa yaliweka matangazo kwake.
Unamjua aliekuwa mpiga picha binafsi wa rais Kikwete chini ya ikulu? Enzi ya awamu ya 4 kila alipo Kikwete yeye yupo na camera zake. Posho lukuki, jamaa alikua anachezea kaunda suti utafikili wale jamaa wa usalamaSikuwahi jua
Umenikumbusha mbali sanaDah enzi zetu kila mtu alitamani kuwa na blog iliapige pesa za matangazo blogger ikatubeba tukimtazamia michuzi blog kama vile kioo
Sikuhizi hata bongo5 sidhani kama watu wanafungua tena maana hata BBCswahili holla
Vp huko mnapitiaga?
jamaa amezunguka dunia na kikwete mpaka kumpiga picha na Boyz2MenUnamjua aliekuwa mpiga picha bonafsi wa Kikwete chini ya ikulu? kila alipo Kikwete yeye yupo na camera zake. Posho lukuki
Mzee wa KWISHNEI!Dah enzi zetu kila mtu alitamani kuwa na blog iliapige pesa za matangazo blogger ikatubeba tukimtazamia michuzi blog kama vile kioo
Sikuhizi hata bongo5 sidhani kama watu wanafungua tena maana hata BBCswahili holla
Vp huko mnapitiaga?
Hapo nishampataUnamjua aliekuwa mpiga picha binafsi wa rais Kikwete chini ya ikulu? Enzi ya awamu ya 4 kila alipo Kikwete yeye yupo na camera zake. Posho lukuki, jamaa alikua anachezea kaunda suti utafikili wale jamaa wa usalama