S Soaiod JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 469 Reaction score 888 May 15, 2024 #21 Hawa wakimbiza mwenge wana military mindset ,wanafikiri kila mtu atafanya kazi sababu ya command ,wengine ili wafanye kazi wanahitaji soft language.
Hawa wakimbiza mwenge wana military mindset ,wanafikiri kila mtu atafanya kazi sababu ya command ,wengine ili wafanye kazi wanahitaji soft language.
O Open school JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 1,158 Reaction score 1,746 May 15, 2024 #22 Mkurugenzi anajielewa walau kwenye suala la mwenge.
A Afroman JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 1,443 Reaction score 1,927 Oct 2, 2024 #23 Mrao keryo said: Huo mwenge ni agano linalohitaji kuvunjwa haraka sana,ndio maana mpaka miaka 60 ya uhuru bado watanganyika hatujitambui Click to expand... Kweli kabisa mwamba!
Mrao keryo said: Huo mwenge ni agano linalohitaji kuvunjwa haraka sana,ndio maana mpaka miaka 60 ya uhuru bado watanganyika hatujitambui Click to expand... Kweli kabisa mwamba!