Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
Ushahidi wa kimazingira unaonyesha hakuwa na nia ya kuua mtu mpaka pale polisi walipofika......sasa utapataje evidence ya nia yake huku umemuua?Ukiondoa mawazo ya filamu kichwani mwako utaelewa kwanini alipgwa risasi....
Hakuwa na nia wakati alikuwa keshaua Askari na akachukua siraha kabla hajasogea ubalozini?? Kama hakuwa na nia alichukua siraha kwajili ya nini??? Kujiremba??? Kupiga nayo picha???Ushahidi wa kimazingira unaonyesha hakuwa na nia ya kuua mtu mpaka pale polisi walipofika......sasa utapataje evidence ya nia yake huku umemuua?