Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kenyaaaaa
Gen z
Hukoo bangladesh wanafunzi wa chuoo wamemtoa resii waziri mkuu aliekuwa madaraka 20 yrs kakimbilia. India
Nawaza hawa jamaa walikogwa ama? Miaka yote iio wako kimya
Aisee kumbe hata Africa wale jamaa zetu wallooapa kufia madarakan na wengine wanapanga kuwapa watoto wao wakitoka wanaweza kuondoka mapema kabisa.
Unaambiwa jeshi limechukua madaraka limevunja baraza la mawazori
Haotoshi wanataka kukagua wizi wote uliotokea
Haitoshi hapa nkacheka kesho wanakutaba na viongozi wa wanafunzi ikulu kuomba ushauri wanamwamini nani awepoo kwenye uongozi mpya
Naona mdahuu wamemtangaza jamaa mshindi wa Nobel awepo kwenye uongozi mpyaaaa
Wanafunzi
..anawaona