Baraza kama kawa litapangwa na Rostam. Japo Rostam hatakuwepo kwenye baraza. Ngeleja na kombani watabaki na nafasi zao. Mambo ya ndani ataingia January Makamba.
Yes. It is true kwamba safari hii alikusudia kuwaonesha kuwa hategemei kubebwa na mtu ndio akaitumia familia yake ambayo haitakuwa na cha kumdai. Ili kuondoa udhia atafanya mabadiliko makubwa tu na ataliendesha kwa mkono wa chuma. He has nothing 2 lose.