Hivi Bcom finance inachukuliwaje?

Hivi Bcom finance inachukuliwaje?

Jitsu

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2018
Posts
205
Reaction score
191
Wakuu inashangaza kwa kweli!

Yaani mtu mwenye bachelor ya finance hatambuliki ajira portal wakati holder wa hii kitu anashiriki kozi nyingi za accounts akiwa chuo, in short mtu wa finance anapiga kazi za accounts bila zengwe lolote ila ajira za kwenye mabenki ndio imebaki kuwa kazi ya pekee kwa mtu wa finance.

AJIRA PORTAL SAWA AJIRA ZIMETOLEWA NYINGI ILA KUNA WATU WATABAKI BADO WAMEKUNJA ROHO KWA KUPITWA NA HIZI AJIRA

Yaani kweli mtu wa finance unamuacha kwenye post za accountant, unamuacha kwenye assistant accountant/accounting officer

This is not fair

AJIRA PORTAL NAWAITA JINA LENU MARA TATU!

WATU WENYE BCOM FINANCE MMEWASAHAU NA HIZI NI AJIRA ZINAZOWAHUSU
 
Duuh bado hawajawarekebishia tu, maana kuna rafiki zang wngine wamerekebishiwa tyr kama watu aquaculture now wanaomba fishing officer,watu wa public relations wanaomba information officer wakat at first system iliwakataa..sasa iyo ya kwnu sjui imekaaje jaribu kuwatumia email
 
Kuna watu waliosoma bodi ya uhasibu na ugavi
Mfano: Atec, intermediate stage nao hawatambuliki ni mara chache sana tangazo kuwahusu wakati NBAA i.e bodi ya uhasibu na ukaguzi inayotoa hizo kozi inaitambulisha Atec na intermediate as diploma na degree respectively
 
Hebu niambie,wametumia njia gani kufikisha malalamiko yao maana simu hawapokei,niambie Kama ni email wanadeal nazo niwaandikie
 
Ingia tena omba, wengi walipatwa na shida hiyo ila Utumishi wamerekebisha
 
Kuna watu waliosoma bodi ya uhasibu na ugavi
Mfano: Atec, intermediate stage nao hawatambuliki ni mara chache sana tangazo kuwahusu wakati NBAA i.e bodi ya uhasibu na ukaguzi inayotoa hizo kozi inaitambulisha Atec na intermediate as diploma na degree respectively
Hivi aisee kwa nini wasifanye Mambo yawe simple!!
 
Duuh bado hawajawarekebishia tu, maana kuna rafiki zang wngine wamerekebishiwa tyr kama watu aquaculture now wanaomba fishing officer,watu wa public relations wanaomba information officer wakat at first system iliwakataa..sasa iyo ya kwnu sjui imekaaje jaribu kuwatumia email
Hata Mimi nimeaoma Account nikiangalia Vigezo ninavyo lkn Sytem ya Ajira portal inakataa kuomba, tusaidie hayo mawasiliano au Email yao itu tuwatafute watusaidie
 
Hebu niambie,wametumia njia gani kufikisha malalamiko yao maana simu hawapokei,niambie Kama ni email wanadeal nazo niwaandikie
Ndio, si kuna sehem ya feedback pale
 
Wawafungulie maana huu mwaka ukipita ajira zitakua za kuvizia kama
Yani aisee watu tumesubiri hii chance over years alafu hukuti coz yako
 
Kwakwel maana hizi ajira zilivyoachiliwa kwa wngi apa tena kwa wingi ivi sjui n mwaka gn
 
Nimeshawatumia ngoja tuone nitaleta mrejesho hapa
 
Hata Bachelor of Science in Economics and Finance wanakataa kwamba huwezi apply kazi ya mchumi. Huu mfumo?? Acha tu
 
Hivi jamaa wanajiona Sana watu wanalalamika kuhusu system Yao kuwa na tatizo kama hawaoni vile.
 
Back
Top Bottom