matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Ni vizuri kujua, siku neema zikinitembelea nachukua ufukwe mmoja huko.
Je kuna madalali kama hawa wa huku bara.
Je na kwenyewe wanachaji pesa ya mguu.
Vipi siwezi pata usumbufu wa kiimani.
Zanzibar ni kisiwa cha kimataifa, naamini ukiwa huko kila jioni unapata urojo pale forodhani huku ukibadilishana Ideas na magwiji mbalimbali duniani akili inafunguka.
wenyeji msaidie.
Natamani siku moja niwe na makazi pande zote za Muungano huu pendwa.