stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Hivi biashara unatakiwa uifanye ndio uijue au uifanye kwanza ndio uijue?
Kwani mfanyabiashara wa kwanza duniani alijifunzia wapi kufanya biashara?Tujiulize;Ianze biashara au ianze akili au kinyume chake?Hivi biashara unatakiwa uifanye kwanza ndio uijue au uijue kwanza ndio uifanye?
"Alifundushwa na mungu", pasta moja alisikika akinena hivyo kwa kujiamini.Kwani mfanyabiashara wa kwanza duniani alijifunzia wapi kufanya biashara?Tujiulize;Ianze biashara au ianze akili au kinyume chake?
Afadhali kama alikuwa na imani na Mungu."Alifundushwa na mungu", pasta moja alisikika akinena hivyo kwa kujiamini.
Yeah, kweli.Afadhali kama alikuwa na imani na Mungu.
Biashara hufanywa vizuri na watu majasiri,wasioogopa hasara na wasiojali chochote.Wengi wanaofanikiwa,mbali ya sifa hizo,huwa hawana elimu sana na hawafanyi biashara ya kuandikaandika hata gharama za Tsh.500.Daaah... Inabidi uijue na utambue kwamba inachukua muda sana kujenga biashara imara.
Ni kweli, biashara sio rahisi kabisa hasahasa Kama ndio unaanza moja... Inahitaji ujasiri na riskBiashara hufanywa vizuri na watu majasiri,wasioogopa hasara na wasiojali chochote.Wengi wanaofanikiwa,mbali ya sifa hizo,huwa hawana elimu sana na hawafanyi biashara ya kuandikaandika hata gharama za Tsh.500.
Kwa asilimia kubwa waliofanikiwa ni wale majasiri. Hesabu kubwa inayofanywa ni unanunuwa bei gani na kuuza bei gani na wapi. Mara nyingi ni za kichwani.Biashara hufanywa vizuri na watu majasiri,wasioogopa hasara na wasiojali chochote.Wengi wanaofanikiwa,mbali ya sifa hizo,huwa hawana elimu sana na hawafanyi biashara ya kuandikaandika hata gharama za Tsh.500.