raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 12,030
- 37,571
Una anza na machine ya kg ngapiMimi nimepiga hesabu nikaona m2 inatosha cjakurupka
Una anza na machine ya kg ngapiMimi nimepiga hesabu nikaona m2 inatosha cjakurupka
No 2 ni muhimu kama no 1 au kuliko no 1.
Tena bora ungesema no 1 ndo sio muhimu kubongobongo.
Kipindi cha mvua nguo zitakaukaje ?
Mteja kaja saa moja usiku anataka saa 4 apitie nguo yake akavae unakaushaje?
hamjamuelewa, mtoa mada hazungumzii aina hiyo ya laundry Wala wateja wa masaa mawili anataka nguo yake na ndio maana mmeishangaa bajeti yake ya 2M. Amesema ameshafanya utafiti kaona hiyo bajeti inamtosha kwa aina ya wateja wake nyie mnamletea uchambuzi wenu wa uwekezaji mkubwa. Uwekezaji mkubwa hauulizwi Wala hauhitaji maoni ya wana JF. Huyo wateja wake ni wale wa kaleta nguo Leo ataifata utapomwambia nguo yake ipo tayari. Msijichoshe na mahesabu yenu😀Wewe unaongelea kitu kingine sio Laundry, hata Madobi hawafanyi ivyo mzee.
Mteja anataka nguo zake ndani ya masaa mawili, Nguo zinakaukaje baada ya kufua mzee?
We nguo lazima uzinyooshe tena steamer ndo inapiga kazi chapKibongo bongo 1,6,8 na 10 ndio muhimu. Mengine hayo sio muhimu sana. Kunyoosha utanyoosha mwenyewe nyumban kwako, 7,8,9 ndio sio muhimu kabisa
Umeangalia bajeti ya jamaa?We nguo lazima uzinyooshe tena steamer ndo inapiga kazi chap
Ipo pas hata ya laki na nusu , 2 milion ni changamoto kwani inabidi apate mashine ya kufua hata ya kilo 20 ya kuweza kufua mablanket yale mazito ambavyo kwa mpya apate hata kwa 1 m na kuendeleaUmeangalia bajeti ya jamaa?