barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ilikuwa kama RIFARO. Wamekusanya chao na kusepa, hamna nguvu wala kupona magonjwa.Hii biashara ilivuma sana hasa ikihusisha na nguvu za kiume na watu walipiga hela sana kwa kuanzisha ufugaji wa kware na kuuza mayai yake lakini sasa naona kimyaa. Watu wakianza kuvumisha kitu hasa kukihusisha na nguvu za kiume kinapata soko sana. Akiibuka mtu leo na kusema mayai ya nyoka yanaongeza nguvu za kiume msako mkali utaanza kutafuta mayai ya nyoka popote mashimoni na mapangoni na ukitaka watu waanze kufuga nyoka tangaza kuwa mayai yake yanaleta nguvu za kiume
hahaaa hii kitu ikoje mkuu ..hebu idadavue vyema..daahh watu wezi aisee
Acha tu mkuu ,, hii mambo unaenda unatoa laki5 na 60 , zen unapewa package ina dawa eti inatibu "magonjwa 100" ,pia ina kahawa inayoongeza 'akili darasani',unapewa pia dawa za mswaki kwenye hiyo hiyo package, ambayo thamani ya package ndio hiyo pesa uliyotoa…!hahaaa hii kitu ikoje mkuu ..hebu idadavue vyema..daahh watu wezi aisee
hahaaaa mimi walinipigiaga Simu ..nikawaambia kuwa sina muda huo ..kwanza alikuwa anajifnya anaongea kama anatype gazeti ..nikamwambia skia Binti Nina kazi nyingi mnoo zakufnya so huo muda unaohitaji kuupata toka kwangu eti nije ofisini kwenu sintokuwa naoAcha tu mkuu ,, hii mambo unaenda unatoa laki5 na 60 , zen unapewa package ina dawa eti inatibu "magonjwa 100" ,pia ina kahawa inayoongeza 'akili darasani',unapewa pia dawa za mswaki kwenye hiyo hiyo package, ambayo thamani ya package ndio hiyo pesa uliyotoa…!
Sasa hiyo package ni wew uende kuuza au ukatumie mwenyewe kwa afya yako, zen unatafuta watu wa kuwajoin kwenye biashara , basi mambo yanakua yameiva unaanza kuingiza pesa na wewe kupitia chain ya watu uliowaunganisha
Jamaa wahuni sana , ukienda kwenye semina zao wanaongelea kununua magari na viwanja ndani ya miezi miwili
Mimi nimefatwa na washikaji zaidi ya wawili kuhusu hiyo makitu bt niliwaambia ujinga wa hivo sifanyagi
Hii biashara ilivuma sana hasa ikihusisha na nguvu za kiume na watu walipiga hela sana kwa kuanzisha ufugaji wa kware na kuuza mayai yake lakini sasa naona kimyaa. Watu wakianza kuvumisha kitu hasa kukihusisha na nguvu za kiume kinapata soko sana. Akiibuka mtu leo na kusema mayai ya nyoka yanaongeza nguvu za kiume msako mkali utaanza kutafuta mayai ya nyoka popote mashimoni na mapangoni na ukitaka watu waanze kufuga nyoka tangaza kuwa mayai yake yanaleta nguvu za kiume
hii kitu utasikia "one million,, two million",, hahahaaa daah, jamaa ni wezi sijawahi ona,
Kweli mtu utoe laki5 na 60 zen unapewa package ya dawa za kienyeji na dawa za meno ukauze,, halafu mtu na akili zake timamu nae anaenda, na anakuja kukushirikisha fursa na wew ukapigwe pesa yako duuu…!!!
hii kitu utasikia "one million,, two million",, hahahaaa daah, jamaa ni wezi sijawahi ona,
Kweli mtu utoe laki5 na 60 zen unapewa package ya dawa za kienyeji na dawa za meno ukauze,, halafu mtu na akili zake timamu nae anaenda, na anakuja kukushirikisha fursa na wew ukapigwe pesa yako duuu…!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Sasa hv kuna 'mayai ya Qnet'. Saa mil 5.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alikuwa anasaka miguvu eeh,.Kuna jamaa alikuwa anayala alifumuka balaa
Hahahahaaaa
Sijui huwa hawajui kuwa wanafanywa wamachinga na pesa zao zinaenda buree,loh!!!hii kitu utasikia "one million,, two million",, hahahaaa daah, jamaa ni wezi sijawahi ona,
Kweli mtu utoe laki5 na 60 zen unapewa package ya dawa za kienyeji na dawa za meno ukauze,, halafu mtu na akili zake timamu nae anaenda, na anakuja kukushirikisha fursa na wew ukapigwe pesa yako duuu…!!!
Sijui huwa hawajui kuwa wanafanywa wamachinga na pesa zao zinaenda buree,loh!!!
Vumbi la kongoUlikuwa upepo tu, sasa hivi upepo gani unavuma?