hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahaaaaIliisha
Pia Hii Ilikuwa Kama Forex
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaaIliisha
Pia Hii Ilikuwa Kama Forex
hahahaaa mimi ile heading ndio iliyonifnya niiogope biashara yenyewe sasa ..maana niliona mmhh ukiona mtu anakupa mchongo mzito kama huu kiboya boya tu jua kuna namnaDah ile heading ukiisoma ilikuwa inazuzua hatari,
"... Biashara yenye utajiri ambayo hakuna bank itataka uijue.. "
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
Bahati mbaya sikuwa na hela kipindi hicho nahic nngeunguzaga account aisee
hahaaaa kuna mtu mkewe na shemeji yake wamepigwa ml.8bei ya brevis used car mkononi..hahahahaaa aiseeSasa hv kuna 'mayai ya Qnet'. Saa mil 5.
HIYO NIASHARA YA SUNGURA WATU WAMEPIGA HELA MNOOO...KUNA JAMAA FLANI HVI WANAPATIKANA SINZA MAENEO YA UWANJA WA TIPI ..WALIKUWA WAMEPEWA TENDA YAKUTENGENEZA MA CAGE yA KISASA KABISAAA KWAAJILI YA SUNGURA..DAAHH JAMAA ALIKIWA ANAYAUZA ILE MBAYAHahaha nimecheka sana aisee.
Sijui ilikuwa project ya mjanja gani ile.
Watu walifuga sana kware.
Bila kusahau biashara ya sungura pia, nayo ilishika kasi sana, sijui bado ipo?
hahaaa good morning hata SAA 10 alasiriJamaa wa Goodmorning. Hiyo walitaka kunidaka nikala kona
hahaaa hii kitu ikoje mkuu ..hebu idadavue vyema..daahh watu wezi aiseehii kitu utasikia "one million,, two million",, hahahaaa daah, jamaa ni wezi sijawahi ona,
Kweli mtu utoe laki5 na 60 zen unapewa package ya dawa za kienyeji na dawa za meno ukauze,, halafu mtu na akili zake timamu nae anaenda, na anakuja kukushirikisha fursa na wew ukapigwe pesa yako duuu…!!!
sasa hivi analiingiza kingi taifa ...sasa mtu mwenye akili zakushikiwa mpka na babu wa loliondo eti kapewa nchi aiongoze ...hahaaa tanzania kuna miujiza aisee ..acha atuuze tuHahahaha nyie watu wakorofi hahahaha
Hahaha,naona bwana julius magembe umeamua kujianika mazima,hahahah
Yanatibu ukimwi mzee baba!!Hivi watu walikuwa wanayala hayo mayai?
Nasty!
hahaaaa kuna mtu mkewe na shemeji yake wamepigwa ml.8bei ya brevis used car mkononi..hahahahaaa aisee
Ufugaji wa mbuzi wa maziwa, ufugaji wa sungura, kilimo cha Uyoga na kilimo cha matikiti majiunganisha na biashara ya kuku wa kuchi, na kikombe cha babu wa loliondo, vyote hivyo vinaendana, ni dugu moja.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Umenikimbusha unga wa Ngoka 11
hahaa kweli kabisaa ..daahhhapo mkijitazama wote mnajiona mafala. Familia yote mnapigwa.
afadhali ya matikiti maji ..nizao ambalo demand yake kwa wateja waiona kwa macho mpka hii leo...hivyo vitu vingine ni imaginationUfugaji wa mbuzi wa maziwa, ufugaji wa sungura, kilimo cha Uyoga na kilimo cha matikiti maji
Vyote vilikuja kama upepo na kuondoka kama upepo
Kweli..Tangu TFDA walipotangaza kuwa haitibu hayo magonjwa biashara ikapigwa chali
Nani huyu mkuu?naona hataki hata tone limwagike