Hivi binadamu akifa huku anakoendaga hua anakutana na waliotangulia?

Hivi binadamu akifa huku anakoendaga hua anakutana na waliotangulia?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Wakuu poleni na mishuhuliko yenu!

Hivi wakuu hua viongozi wetu wa dini hua wanatufundishaga kuwa mbinguni hukohakuna kazi bali ukifa ukaenda huko kazi iliopo ni kukesha kwa kuimba! hivi ni kweli wakuu huwa wanaenda kukutana huko mbinguni ndugu jamaa na marafiki?
 
Soma vifung vifuatavyo brother!!..
 

Attachments

  • 1471501724640.jpg
    1471501724640.jpg
    31.2 KB · Views: 84
Wakuu poleni na mishuhuliko yenu!!
Hivi wakuu hua viongozi wetu wa dini hua wanatufundishaga kuwa mbinguni hukohakuna kazi bali ukifa ukaenda huko kazi iliopo ni kukesha kwa kuimba!!hivi ni kweli wakuu hua wanaenda kukutana huko mbinguni ndugu jamaa na marafiki??
Kama uliishi tumboni kwa mama yako nahukumbuki chochote juu ya maisha hayo bac kaburi ni kama tumbo(thummma turaduuna aala alimul ghaib wa shahada
 
Hawezi kumjua mtu, akili inabadilika unakuwa kama ZUZU.uthibitisho wa hili no pale MTU anspotaka kukata roho anakuwa mwehu kuongea hovyo hovyo .
 
Inategemea na mafundisho uliopata toka kwa dini uliopo kwa mimi muislam tunaambiwa kaburi nikama mahakama ndogo ambayo utazikwa peke ako na baada yakuzikwa kama ulikuwa mtenda mema na kuumcha mwenyeezi mungu vile inavyotakiwa basi maisha yako ya kaburini yatakuwa yenye raha na yenye kupendeza ila kama ulikuwa mtu mwizi usiependa kumuabudu na kumuamini aliekuumba na vitu vyake vyoote vikiwemo malaika mitume wake aliewatuma na vitabu vyake na ukafanya mambo yakumuudhi muumba basi maisha yako kaburini yatakuwa niyamateso na karaha mpaka siku ya hukumu kuu ambayo tunayoiita kiama huo ndio upande wa kiislam tunavyoelekezwa sijui kwa dini zengine
 
Kwa mujibu wa Biblia mtu unapokufa haendi mbinguni moja kwa moja,Bali hubaki kaburin hadi siku ya mwisho atakapofufuliwa!!..
mtu anaconsist mwili na roho..huu mwili ni minyamanyama tunayohangaika nayo tukifa inaliwa na funza inatoweka.roho inaenda kwa muumba.sio kila binadamu amezikwa kaburini,wengine wameliwa na simba,wameteketea kwa moto had majivu..kinachomatter ni roho ndugu.
 
mtu anaconsist mwili na roho..huu mwili ni minyamanyama tunayohangaika nayo tukifa inaliwa na funza inatoweka.roho inaenda kwa muumba.sio kila binadamu amezikwa kaburini,wengine wameliwa na simba,wameteketea kwa moto had majivu..kinachomatter ni roho ndugu.
Ulichosem n kwel brother,kabur kwa context ya kibiblia yaan "hades" hamaanishi "shimo"tu Bali ni pamoj na hayo yote uliyoorodesha,by the way "HUU MWILI WA NYAMA TULIONAO HAUWEZ KUURITHI UZIMA WA MILELE"
 
Back
Top Bottom