Hivi binadamu akifa huku anakoendaga hua anakutana na waliotangulia?

Hivi binadamu akifa huku anakoendaga hua anakutana na waliotangulia?

Haya muelezee huyo aliyehuliza hilo swali...kama ulikutana na wenzako wafu....
 
Sasa mkuu ukienda huko mbinguni mara ghafla ukakutana na aliekuwa mbaya wako hivi hapo inakuwaje!![emoji86] [emoji86]
 
Ulichosem n kwel brother,kabur kwa context ya kibiblia yaan "hades" hamaanishi "shimo"tu Bali ni pamoj na hayo yote uliyoorodesha,by the way "HUU MWILI WA NYAMA TULIONAO HAUWEZ KUURITHI UZIMA WA MILELE"
sawa bt mi sio braza bwana..[emoji136]
 
Nani alienda akhera na kurudi...??atusaidie hapa....
Mimi niliendaga mara moja siku ya tarehe 3/11/2013 nikarudi baada ya siku 2 ila mpaka leo sikumbuki niliyoyaona huko![emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Ulikuwa ndotoni kaka....kalale tena ....na kawaida ya ndoto haimalizikagi.......
 
Ukifa huendi sehemu yeyote isipokuwa unakuwa umepoteza kitu muhimu sana kwenye maisha yako,,,tehe tehe tehe eee
 
Wakuu poleni na mishuhuliko yenu!!
Hivi wakuu hua viongozi wetu wa dini hua wanatufundishaga kuwa mbinguni hukohakuna kazi bali ukifa ukaenda huko kazi iliopo ni kukesha kwa kuimba!!hivi ni kweli wakuu hua wanaenda kukutana huko mbinguni ndugu jamaa na marafiki??

cc:Mshana Jr.
 
Tajiri aliyekuwa kuzimuni alimtambua maskini aliyekuwa mbinguni kwa mujibu wa biblia.
 
Inasemekana mkapa haja kubwa hutoka bila kupenda au manii
Hawezi kumjua mtu, akili inabadilika unakuwa kama ZUZU.uthibitisho wa hili no pale MTU anspotaka kukata roho anakuwa mwehu kuongea hovyo hovyo .
 
Kwa hiyo ni kweli huko mbinguni ni kuimba tuu!!
 
Lazaro. Angekuwepo angetusaidia ila naamin MTU akifa ni saw na alielala. Hajui lolote akingoj . Siku ya mwisho. Kwa. Ajili ya hukumu
 
Back
Top Bottom