Variety is a spice of life,Ukirudia jambo lilelile kwa miaka 50 lakini ukikua ndani yake, huo ni ustadi. Ukibadili jambo kila mwaka lakini usikue, huo ndio mzunguko usiokua na maana , Tatizo si kurudia jambo lile lile, tatizo ni kutokukua.
Asante sana mkuu,ndio maishaPoleni
Kama kurudia kitu kilekile ni uwendawazimu basi watu waache kula, kuoga, kupumuaKila mmoja atafakari, majibu yako wazi..
Kikubwa jamaa wametuweza
Kama kurudia jambo kunamaanisha kuwa mashine, basi mwanamuziki anayefanya mazoezi kila siku, mwanasayansi anayefanya utafiti maisha yake yote, au daktari anayetibu kwa miaka 40 wote ni mashine?Variety is a spice of life,
Ukue kwenye kufanya jambo lile lile kama mashine? Hiyo ni illusion ya kukua ukirudia kile kile na kudhani unakuwa
Wote ni mashine...Kama kurudia jambo kunamaanisha kuwa mashine, basi mwanamuziki anayefanya mazoezi kila siku, mwanasayansi anayefanya utafiti maisha yake yote, au daktari anayetibu kwa miaka 40 wote ni mashine?
Unachanganya marudio ya kitendo na ukweli wa maendeleo. Kinachorudiwa ni kitendo, kinachokua ni uwezo, maarifa na ufahamu.
Huo ndio utofauti ambao hoja yako imeukosa.