Tufanye nini Ili tusifanye kile kile tupe mbinu basiYaani ni binadamu pekee anaye weza kufanya kitu kile kile kwa zaidi hata ya miaka 50..
Chukulia mfano waajiliwa,
Yaani mtu unarudia kufanya kitu kile kile kwa zaid ya miaka 40 bila kukinai kweli?
Huu si wendawazimu?
Alaf unasema umeishi?
Umeishi au imemsaidia mwajiri wako kuishi? Ifike mahala binadamu ajue he's more than a cog in a mashine
Mwenye manung'uniko afanye kama hajaona kilicho andika hapa
Blue Monday hiyo, nendeni mkaendele kufanya kile kile ili msahau kuishi
Cc meghan markle
Hapana unanielekezaPole sana rafiki
Ila wanasema maisha hayana mwongozo, mwongozo ni Machaguo yako, nikikupa yangu nitakutolea uhuru wako
Aisee mbona mambo yamekuwa magumu hivoInabidi nikujue kwanza hapo ndo tatizo linapoanzia
Kuna watu hawawezi kuishi nje ya ajira, yaani kumwambia awekeze sehemu na kujisimamia hawezi na hiyo ni kawaida sana. Sioni ajabu sana...Huku mtaani kuna kijana amekuwa mwl kwa miaka 12 mwaka jana aliamua kukopa bank na kuacha kazi. Sema kajilipua yupo machimboni. Kiuhalisia wapo watu wanaoenjoy kuajiriwa pia wapo ambao wanaenjoy wakijiajiri wenyewe
Naona haujanilewa vizuriWhat does a mashine does?
Listen, sikusema hana uchaguzi because hana... Usielewe vibaya na usitumie hiyo statement as a reality....
Nimetoa because ya kuelezea why binadamu anakosa uchaguzi.. Lakini anaweza kufanya because katika perspective ya ubongo kuna free will
Illusion kivipi na huku uhalisia unaonekana in real life..
Wacha kudive kwenye metaphysics wakati kupo kwenye 3D world.
From your perspective bado ulikuwa unakataa kufanya kitu kile kile sio kuwa kama mashine..Naona haujanilewa vizuri
Unachokiita current reality ni interpretation ya uzoefu, si conclusion ya mwisho ya ukweli.From your perspective bado ulikuwa unakataa kufanya kitu kile kile sio kuwa kama mashine..
Na mimi Nika kwambia hiyo ni illusion, wewe ukaanza kwenda kwenye metaphysical perspective which is denying the current reality
Also jana kuna ile mada ya scientific facts: hukunijibu... Je ulisoma nilicho andika?
unakuta tangu amenunu simu au kifaa chochote kile anachotumia kuingia JF na kuandika mabandiko mbalimbali, anatumia herufi A-Z tu maisha yake yote. hivi hii husababishwa na nin hasa?Yaani ni binadamu pekee anaye weza kufanya kitu kile kile kwa zaidi hata ya miaka 50..
Chukulia mfano waajiliwa,
Yaani mtu unarudia kufanya kitu kile kile kwa zaid ya miaka 40 bila kukinai kweli?
Huu si wendawazimu?
Alaf unasema umeishi?
Umeishi au imemsaidia mwajiri wako kuishi? Ifike mahala binadamu ajue he's more than a cog in a mashine
Mwenye manung'uniko afanye kama hajaona kilicho andika hapa
Blue Monday hiyo, nendeni mkaendele kufanya kile kile ili msahau kuishi
Cc meghan markle
Unabwabwaja na kutapatapa tu gentlemenunakuta tangu amenunu simu au kifaa chochote kile anachotumia kuingia JF na kuandika mabandiko mbalimbali, anatumia herufi A-Z tu maisha yake yote. hivi hii husababishwa na nin hasa?
unakuta mtu tangu amezaliwa,
anatumia mdomo huo huo kula, kunywa, kuongea au kuimba, je hali hii tunaweza kuiita nini kwa mfano gentleman?🐒
Mkopo wa benki anarudishaje?Huku mtaani kuna kijana amekuwa mwl kwa miaka 12 mwaka jana aliamua kukopa bank na kuacha kazi. Sema kajilipua yupo machimboni. Kiuhalisia wapo watu wanaoenjoy kuajiriwa pia wapo ambao wanaenjoy wakijiajiri wenyewe
Unachokiita current reality ni interpretation ya uzoefu, si conclusion ya mwisho ya ukweli.
Kusema kurudia kitu ni kuwa mashine ni tafsiri yako ya thamani (value judgment) si fact ya kisayansi.
Na kuhusu illusion ,kama kila kitu ni illusion, basi hata uwezo wako wa kutambua hiyo illusion ni sehemu ya hiyo hiyo system huwezi kuitenga na kuiweka nje kama ukweli wa juu.
Wametuwezea hapo... Hao hao walogundua kitu kinaitwa pesaNimekupata ile hali ya kwenda asubuhi kazini unarudi usiku kila siku upo ndani ya huu mzunguko kwa maisha yako yote huu nao huwa naona kama mfumo wa kihayawanj sana, kuishi kutumika na kutumikia watu dah........