I never saidi nimekataa kazi zoteLetting go, bila kuonyesha unachobadilisha badala yake ni fantasy, si falsafa.
Huwezi kukataa box zote za kazi na majukumu halafu bado ukaishi kama sehemu ya jamii hiyo hiyo.
Uhuru wa kweli haupo nje ya mfumo ,upo ndani ya kuujua na kuutumia kwa akili. Ukikimbia structure, hauendi kwenye freedom, unaanguka kwenye instability.
Kusema ni decision si choice hakubadilishi uhalisia kwamba bado unategemea choices za mfumo unaoukataa.
Post ya mwanzo nilijibu hili , unaweza pia usifanye jambo hilo hilo na ukakosa fountain of life and culture na mwingine akafanya jambo hilo hilo likabdalisha na kuleta matokea chanya na mapya kabisaI never saidi nimekataa kazi zote
Mada yangu ili base kwenye kurudia kufanya kitu kile kile for a prolonged period of time.
Ni Sawa na kuwa mashine.. Ambayo iko designed kufanya kitu kimoja
Inawezekana uki diverse ndo ikakufanya uka get the most out of jamii kuliko kufanya jambo moja na kukosa the fountain of life and culture
kubaki kua nyumbu na mfuata mkumbo lofa ni muhimu zaidi 🐒Kwa heri gentlemen niangalizie nafasi ya Uchawa niwe nafanya part time na mimi gentlemen
I get that let's stay in the same pagePost ya mwanzo nilijibu hili , unaweza pia usifanye jambo hilo hilo na ukakosa fountain of life and culture na mwingine akafanya jambo hilo hilo likabdalisha na kuleta matokea chanya na mapya kabisa
Utafikiri kuna mtu anayetucgezesha wamekaa kwenye meza na sisi ndio kete, usipopata pesa utapata tabu na kufa so lazima huwe kwenye circle ili wategemezi wasife na njaaWametuwezea hapo... Hao hao walogundua kitu kinaitwa pesa
🤣🤣🤣Nimecheka mpk mbavu zinauma🤣🤣🤣
Kabisa, nyuma ya pazia Kuna mengi sanaNdo maana tuna ambiwa uki believe mtu mtandaoni wewe ni pungu
Nenda kafanye kitu kingine.Mbona nainjoy maisha matamu unataka niende wapi?
Same, same hiki kitu nimekuwa nikijiuliza niak mingi sana, like why are people so complacent on it...Naunga hoja ya mtoa mada kwa kweli inachosha sana kila siku unaamka mda ule ule unapita njia ile ile unaenda sehemu ile ile kufanya jambo lile lile maisha yako yote
Mbaya zaidi unalipwa kile kile..
Mimi nilichoka na mazingira ya kazi nikaa week moja home nikazima na simu
Nikafukuzwa kazi..
Binadam tumefoutiana mimi naweza kuacha mishe nzuri sababu ya kuchoka mazingira na vitu kujirudia rudia!
Sawa.Niache niinjoy usinipangie